Je wajua! Simba ina goli moja tu nalo ni la penalty

we jamaa sijui nini huwa kinakuwasha kila muda simba .
alafu unajiona mchambuzi wa soka
kwahiyo?
yanga wa mwisho kwenye group lake na simba hivyohivyo
ongea kingine tena
Kwanini kabla ya jana ilikuwa kuwa mwisho kwenye grupu ni kama tusi kwenu? Unakumbuka mlivyokuwa mnachonga kwa Yanga kuwa wa mwisho kwenye grupu? Saa hizi mnaongea kama ni kitu cha kawaida tu

Hadi jana topic ilikuwa Yanga kuwa ya mwisho kwa grupu, leo unaibuka unasema ongea kingine. Kwann hutaki kuongelea simba kuwa wa mwisho?

Shwaini sana makolo nyie asee
 
shwain topolo nyie
 
Aah jamani makolo tumekukosea nini tena kaka? [emoji28]
 
Kwanini kabla ya jana ilikuwa kuwa mwisho kwenye grupu ni kama tusi kwenu? Unakumbuka mlivyokuwa mnachonga kwa Yanga kuwa wa mwisho kwenye grupu? Saa hizi mnaongea kama ni kitu cha kawaida tu

Hadi jana topic ilikuwa Yanga kuwa ya mwisho kwa grupu, leo unaibuka unasema ongea kingine. Kwann hutaki kuongelea simba kuwa wa mwisho?

Shwaini sana makolo nyie asee
watu tunaongelea magoli wewe unaleta habari za kuwa wa mwisho kwenye goup
 
Ww utapoteza nguvu za kiume kila siku kuwawaza wanaume wenzio uwaandikie nini...ukikaa unawaza Simba tumekuchoka..huna content...
Hapo mkiani kwny group pameshakuchosha..?
 
Ingawa kweli simba ni dhaifu sana kwenye mshaindano haya, lakini goli ni goli tu, mradi limehesabiwa hata kama ni la mkono. Hata kama Yanga walifunga bao safi kabisa lililofungwa na Kibababe, lakini kwa vile halikuhesabiwa basi siyo goli.
 
Tukutane robo fainali...kama nyie wajanja [emoji23]
 
Ingawa kweli simba ni dhaifu sana kwenye mshaindano haya, lakini goli ni goli tu, mradi limehesabiwa hata kama ni la mkono. Hata kama Yanga walifunga bao safi kabisa lililofungwa na Kibababe, lakini kwa vile halikuhesabiwa basi siyo goli.
Walituhujumu mkuu [emoji23]
 
Back
Top Bottom