Kumbuka huo ni uhalifu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Mkuu tupe shule, unawezaje kuingilia mawasiliano yao na kuwaskiliza?
Najua bossKumbuka huo ni uhalifu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2398]ᵃʳᵉᵉᵐ [emoji769]
Kamuulize bwana mmoja pale Musoma anajulikana kama kajanja ni kipi kilimpata baada ya kufuatilia mawasiliano ya police kwa vimitambo vyake uchwaraMkuu tupe shule, unawezaje kuingilia mawasiliano yao na kuwaskiliza?
Dah jamaa alikua tajiri. $20M?Kamuulize bwana mmoja pale Musoma anajulikana kama kajanja ni kipi kilimpata baada ya kufuatilia mawasiliano ya police kwa vimitambo vyake uchwara
Alitoa $20m za wakati huo ili asipigwe mvua ya miaka gerezani
Line ni kwa ajili ya kumtambulisha mpigaji (sim= subscriber identification module) kwa hiyo simu inaweza kuwasiliana bila line mfano emergency numbersSimu ya mezani (landline)
Nimesoma na kuelewa kumbuka katikati ya mada alisema hakukuwa na teknolojia ya line kwa kipindi hicho, je simu ya mkononi iliwezaje kuingiliana na simu ya mezani?
Zimepotelea wapi mkuu ina maana hamna hata moja mtaani kwenuMotorola zimepotea ziku izi