Je, wajua? - Special Thread

Je wajua! Nchini Kazakhstan kuna kijiji kinaitwa kalachi, kilikubwa na ugonjwa wa ajabu wa kulala, watu walikuwa wanalala takribani siku tatu na wakiamka wanapoteza kumbukumbu.
 
Je wajua kutoka juma 3 mpk ijumaa ni tofauti kabisa na kutoka ijumaa mpk juma 3 ukiwa kwenye clockwise direction
 
Write your reply...Huko Cambodia kuku,bata,pera na viroboto baada ya vipimo maabara ya taifa vilibainika kuwa na virusi vya Ukimwi yaani HIV
 
Huko texas mwanaume mmoja alibakwa na kundi la wanawake kipindi akiwa anafanya mazoezi ya kukimbia! Baada ya wiki moja wanaume karibia 100 nao wakaanza kufanya mazoezi ya kukimbia eneo lile lile
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™†
 
Je wajua! Nchini Kazakhstan kuna kijiji kinaitwa kalachi, kilikubwa na ugonjwa wa ajabu wa kulala, watu walikuwa wanalala takribani siku tatu na wakiamka wanapoteza kumbukumbu.
Unaweza kunisaidia link nzuri yenye hii habari kwa undani? Inavutia.
 
Huko texas mwanaume mmoja alibakwa na kundi la wanawake kipindi akiwa anafanya mazoezi ya kukimbia! Baada ya wiki moja wanaume karibia 100 nao wakaanza kufanya mazoezi ya kukimbia eneo lile lile
Nashikilia hapa kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao jamaa 100 walikuwa hawajui usemi usemao bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi..
Sasa hizo ndo kengeπŸ˜‚πŸ˜…
 
Kwetu sisi wanaume kubakwa na mwanamke ni bahati ndio ila nyinyi tu ndio huwa mnaviherehere ukibakwa unaenda polisi!!
We hao mia kama sio bahati unafikiri wamefata nini baada ya hiyo taarifa..?

Hujui Simba huwinda kwenye mawindo πŸ˜œπŸ˜…
KenzyπŸ™†hiyo bahati umewahi ipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…