Je, wajua? - Special Thread

Je wajua uume wa mwanaume usimama takribani mara 20 wakati umelala...
 
JE WAJUA,kuwa jamii ya wamasai ndiyo inayoongoza kwa kuwa na walemavu wachache mnooo na hata zeruzeru kuliko jamii zingine zote? Ni sawasawa na hawapo! "Tafiti kutoka kwa researcher muingereza aliyeishi Nairobi"

Nalijua hili sana. Jamaa hawa ni kina "Mr.Smart".

Huwa wanawatupa au kuwaua kabisa watu wa namna hii. As for them,ni uchafu kuishi na watu hao.
 
Kuna watu wameandika vitu vya maana mno,na vya kweli.Kuna waioandika matusi tu.Kuna wanaijua dini tu.Katika wote waliochangia,unajiona position yako.
 
je wajua kua kunywa sana maji ya bariidii yaliyo pozwa kwenye friji husababisha upungufu wa nguvu za kiume na kupunguza nguvu ya macho kuona mbali?
 
Je wajua kuwa Arusha ndio sehemu yenye mabilionea wengi zaidi afrika...kwani hata mmiliki wa kibanda cha simu huitwa bilionea....
 
Je wajua Cleopatra aliyekuwa kiongozi Misri ndiye mwanamke mzuri/mrembo kuliko wote duniani pamoja na kuzaa watoto na hatatokea tena kama yeye? Source: soma Biblia takatifu.

Biblia takatifu katika kitabu gani na sura gani??
 
Je! wajua kua Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye askari wengi wasio jua kusoma na kuandika na wanatumia vyeti vya ndugu zao..
 
Kwanini usitumie tu jina lako halisi ukawa verified member mkuu?anyway kwanini unapenda sana kujifananisha na deo carleone wa the godfather?


Mbona Wewe hutumii jina lako halisi?

Halafu kujifanya kivipi?

Huyo Deo Corleone mwingine ni yupi?
 
Je wajua viboko ni wanyama ambao wanapata tabu sana(ni zaidi ya adhabu) pale wanapochomwa na jua kiasi kwamba kunapokuwa na jua muda wao mwingi wanautumia wakiwa majini(ndani ya maji) huku pua zao zikiwa wanazichomoza kiasi kwa nje ili kupata hewa safi
 
Je wajua Ngamia wanao uwezo wa kuziba pua zao iwapo kutatokea dhoruba kubwa la vumbi
 
Je wajua Tembo anao uwezo wa kuokota sindano kwa kutumia mkonga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…