Je, wajua? - Special Thread

Je wajua kuwa lepapa lemutus ndio mtanzania wa kwanza kua baharia abroad
 
Je wajua kuwa tz imetoka mahali kunakojulikana inaelekea kusikojulikana
 
Je wajua chadema ndio chama kinacho ongozwa na MTU aliyepeta zero
 
Hiyo no 1, si wote wapo wanaoweza kufanya hivyo. Kuna aina fulani ya mitege ya mikono mtu akiwa nayo analamba kiwiko kama anavyolamba kiganja cha mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…