Je, wajua? - Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23] watu awapendi kufa, FANYENI IBADA, KUFA NI LAZIMA, BAADA YA KUFA NDIO KUNA MAISHA YA MILELE IWE MOTONI AU PEPONI
 
Je wajua Kisiwa cha Mafia kilichopo bahari ya Hindi chenye kata 7 na wakazi wapatao 60,000 hakuna hata shule moja ya kidato cha sita?
muongo wewe shule ipo huku inaitwa kitomondo secondary. muongo mkubwa wewe
 
KWA TAARIFA YAKO: "Nyuki dume akifika kileleni, korodani zake hupasuka na kisha hufariki dunia."
 
Aisee...basi nisingekaa ningonoke aisee,

Vipi akinyetoka pia anakufa??
 
The longest kissing record is 58hours 35minutes and 58seconds
 
Je wajua kuwa uchi wa mwanamke au uke una uwezo wa kutanuka/expand mara mia mbili (200) zaidi kutoka hali yake ya kawaida?
Science imethibisha hilo so kwa wale wanaojiita wanaume mashine kwa nch 8 walizo nazo wasifikiri yakuwa wanaweza mkomoa mwanamke.


Tupia na je wajua yako tuweze kujifunza mengi!
NB,
Je wajua zilizothibitishwa kisayansi zitapendeza zaidi ili tuendelea kujifunza yaliyo ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…