1;MAZIWA YA NGAMIA HAYAGANDI.,
2:KERENGE'NDE ANA MIGUU SITA LAKINI HAWEZI KUTEMBEA.,
3:MAMBA HAWEZI KUSOGEZA ULIMI WAKE.,
4:CHURA HAWEZI KUMEZA KITU AKIWA AMEFUNGUA MACHO.,
5:BUSU LA DAKIKA MOJA LINAUNGUZA KALORIE 26:
6:KUNA MANENO MANNE TUU KWENYE LUGHA YA KIINGEREZA YANAYOISHIA NA 'DOUS' ' (NAYO NI : hazardous, horrendous, stupendous and tremendous)
7:NGURUWE HAWEZI KUTIZAMA JUU ANGANI KAMWE,.
8:JINA BRAZIL LIMETOKANA NA MTI,.
9:ASILIMIA 42 % YA WANAUME NA ASILIMIA 25% WANAWAKE HUWA HAWAOSHI MIKONO BAADA YA KUTOKA CHOONI,.
10:WADUDU WOTE WANA MIGUU SITA: JICHO LA MBUNI NI KUBWA KULIKO UBONGO WAKE
ONGEZA NA YAKO NA SISI TUJUE