Je, wajua Sultan aliyefurushwa na mapinduzi matukufu alikuwa ni puppet wa wakoloni?

Hivi hadi hii leo propaganda za kijinga kama hizi mnazo tu bado? this is 21st century hakuna mjinga atakae meza ujinga huo hasa kwavile kwa miaka 53 bado wazanzibari hawajaona ile dhamira ya mapinduzi
Mkuu Mzee wa Conspracy, hii sio propaganda!. Propaganda ni kitu cha uongo, trying to make believe, hii ni mada ya ukweli ya kitu kilichotokea Zanzibar na ni ukweli ulioandikwa na wazungu wenyewe kuwa kumbe Sultan halisi aliuliwa Zanzibar kwa kupewa sumu!. Akaingia nduguye ndio akaondoshwa na wazungu na kumpachika Sultan wa kupachika hivyo Zanzibar iliongozwa na masultan vibaraka!.
P
 
Nawatakia mapumziko mema ya maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
P
 
Baraghash mara ya mwisho kusoma comments zako sijui ilikuwa lini.. 😂😂
 
Propaganda ni mambo ya uongo, mimi ni realist na husema mambo ya kweli yaliyotokea, mimi sio propagandist!.
P
propaganda
noun [ U ]
mainly disapproving

UK

/ˌprɒp.əˈɡæn.də/ US

/ˌprɑː.pəˈɡæn.də/

Add to word list
C2
information, ideas, opinions, or images, often only giving one part of an argument, that are broadcast, published, or in some other way spread with the intention of influencing people's opinions:
political/wartime propaganda
At school we were fed communist/right-wing propaganda.


umeona hiyo dictionary ya Cambridge definition ya Propaganda u learned lawyer with lack of vocabulary? so propaganda can be positive or negative and not only negative as what u want others to accept ur wrong definition
 
Asante sana, this is a good use of jf kuelimisha wengine kile unachokijua, mimi nilijua propaganda ni kuwa brainwash the public kwa uongo.

P
 
Mwana JF, Paskali, anakutakia wewe na familia yako HERI YA SIKUKUU YA MAPINDUZI MATUKUFU
YA ZANZIBAR!
Paskali
 


Hata Nyerere alikuwa ni puppet wa wakoloni kwani ndio waliomweka tena madarakani baada ya kupinduliwa na wanajeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…