1..Acha kupiga pool(punyeto)
2..Achana na unywaji wa pombe kali na uvutaji sigara.
3..Kama unatumia gomba temana nayo..hulegeza misuli
4..Epuka vyakula vyenye mafuta mengi
5..Piga zoezi la kukimbuia kwa mda wako..😎
Kunywa maji mengi kila siku, Pia ugali uwe ni wa dona na siyo sembe, tafuna vitunguu swaumu, tumia asali, fanya mazoezi, epuka vilevi, epuka soda zote, fanya mazoezi ya viungo.
hakuna hakuna zaidi ya arg +.
Chai yako weka asali badara ya sukari,mazoezi,kula mihogo mibichi,karanga,kila jioni shushia na supu ya pweza.