Jaman ndugu zangu,napenda kukiri kwamba upungufu wa nguvu za kiume nitatizo kwa wanaume wengi,kiasi kwamba mtu yupo tayari kubugia hata haja yake,ili mradi tu ameambiwa ni dawa ya nguvu za kiume,kuwen makini sana,
Maana humu ndani sasa hivi kila kitu tunaambiwa dawa,yaani wabongo kwa kutake advantage hawajambo,kipindi cha popo bawa kuna watu walidai wana dawa za kuzuia,sasa hivi hatuwasikii,mi napita tu na kidudu changu kilicholegea