Je, wajua? Taarifa Potofu ni chanzo cha maamuzi mabovu. Daima pambana dhidi ya Upotoshaji

Je, wajua? Taarifa Potofu ni chanzo cha maamuzi mabovu. Daima pambana dhidi ya Upotoshaji

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
245
Reaction score
267
Mapambano dhidi ya Upotoshaji yanatuhitaji kutafuta na kuuweka wazi Uhalisia ili kuepuka Taarifa zisizo za Kweli katika Jamii.

Maamuzi Sahihi huchochewa na Taarifa Sahihi. Wasambazie jamaa na marafiki ujumbe huu ili wainuke kupambana dhidi ya TaarifaPotofu.
 
Back
Top Bottom