Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Moja ya vitu vinavyonitia shaka ni discipline ya askari ya askari wa Kenya iliyopelekea kufeli kuwatia mikononi wale magaidi wa west gate mall nairobi,askari wanatumwa kwenye mission wao wanakwenda kunywa pombe na kuiba vito vya thamani na pesa.
rtx14fsb.jpg


article-2469317-18DE426900000578-916_634x448.jpg

Pili waliuana wao kwa wao hii inaonyesha jinsi gani ambavyo hawako makini.
Hili tukio lilipelekea nikaona kuwa askari wao hawako makini na well trained.
Kukabiliana na magaidi ni suala gumu lakini sio ikapelekea askari wa Recce na Kdf kuuana,aibu gani jamani hii,yaani wanauana magaidi hawapo.
 
Umelipimaje jeshi la Tz..wakat tangu Vita ya Uganda hatujapata ata friend mechi moja..ningependa tuombe na Rwanda ka mechi kamoja tu ka vita ili tujijue tupo possition gani
 
Zama hizi siyo zama za kujisifia nguvu za kijeshi! Hata ubabe wa marekani umekwama kwa dogo wa panki!
Ukiwa na nguvu sana kuliko wengine utampiga Nani kwa mfano hapa east afrika ya mashariki halafu ubaki salama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kitu pekee ninachojivunia tz ni kwamba, mwanajeshi ana heshima sana, akitokea mtaani unamheshimu mno kwasababu kazi yake tunaijua. kenya wanajeshi na polisi ni sawa na wote wanavaa magwanda sawa. pamoja na yote al shabab wamewabamiza mbaya that means ni sifuri kwenye vita vya ardhi. tz ipo juu mno kwa east africa.
sawa
 
Sio kweli, tunakataa, jeshi letu lajitaji kuimarishwa zaidi ilivyo sasa, ila hela tunayo?!
 
Kumbe tunaongoza kijeshi kwa kusaidiwa na USA CHINA na England. Nijuavyo mm nchi yenye uchumi mkubwa hata uwezo wake kijeshi au kiulinzi c mdogo. Sasa Wakenya ndiyo investors wakubwa hapa TZ halafu tunawazidi kiulinzi. Bajet yetu tunategemea 35 %.wakati wao 5% ndiyo msaada. Acha kutuona ss wote ni Nyumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:

1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru, magari mbalimbali ya kivita na mizinga.

2. KENYA ikawa ngome ya jeshi la maji na hivyo ikaongoza kuwa na meli na boti nyingi za kivita.

3. UGANDA ikawa ngome ya jeshi la anga na hivyo ikaongoza kuwa na ndegevita.
ktk vita kati ya TZ na UG tulifanikiwa kutungua ndege nyingi za UG na hivyo wakapungukiwa ndege nyingi.

Kwa kuwa jeshi la ardhi kwa nchi nyingi maskini ndiyo dili kwani vifaa vyake vingi vina unafuu ktk kununua na kuvitunza. Pia Kenya imedhoofika sana na AL-SHAABAB ktk vita wanavyopambana.

Jeshi letu tangu vita vya UGANDA limekuwa na nafasi kubwa ya kujijenga na kujiimarisha kwa msaada wa pekee kutoka CHINA na hata nchi za ULAYA NA MAREKANI na ndiyo maana mwaka jana pale uwanja wa Taifa ilizinduliwa ndege ya kisasa ya kivita ambayo Afrika nzima tunayo TZ na SOUTH AFRICA pekee.

Ndiyo maana tunaombwa sana kulinda amani nje ya nchi kama DARFUR, CONGO DRC na LEBANON.

VIVA JWTZ
Lete takwimu sio lepelepe
 
Back
Top Bottom