Je, wajua Tanzania inaongoza kwa nguvu za kijeshi Afrika Mashariki na kati?

Moja ya vitu vinavyonitia shaka ni discipline ya askari ya askari wa Kenya iliyopelekea kufeli kuwatia mikononi wale magaidi wa west gate mall nairobi,askari wanatumwa kwenye mission wao wanakwenda kunywa pombe na kuiba vito vya thamani na pesa.



Pili waliuana wao kwa wao hii inaonyesha jinsi gani ambavyo hawako makini.
Hili tukio lilipelekea nikaona kuwa askari wao hawako makini na well trained.
Kukabiliana na magaidi ni suala gumu lakini sio ikapelekea askari wa Recce na Kdf kuuana,aibu gani jamani hii,yaani wanauana magaidi hawapo.
 
Umelipimaje jeshi la Tz..wakat tangu Vita ya Uganda hatujapata ata friend mechi moja..ningependa tuombe na Rwanda ka mechi kamoja tu ka vita ili tujijue tupo possition gani
 
Zama hizi siyo zama za kujisifia nguvu za kijeshi! Hata ubabe wa marekani umekwama kwa dogo wa panki!
Ukiwa na nguvu sana kuliko wengine utampiga Nani kwa mfano hapa east afrika ya mashariki halafu ubaki salama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa
 
Sio kweli, tunakataa, jeshi letu lajitaji kuimarishwa zaidi ilivyo sasa, ila hela tunayo?!
 
Kumbe tunaongoza kijeshi kwa kusaidiwa na USA CHINA na England. Nijuavyo mm nchi yenye uchumi mkubwa hata uwezo wake kijeshi au kiulinzi c mdogo. Sasa Wakenya ndiyo investors wakubwa hapa TZ halafu tunawazidi kiulinzi. Bajet yetu tunategemea 35 %.wakati wao 5% ndiyo msaada. Acha kutuona ss wote ni Nyumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete takwimu sio lepelepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…