Je, wajua tetea anaweza kutaga bila uwepo wa jogoo?

Je, wajua tetea anaweza kutaga bila uwepo wa jogoo?

Kiini kipi? Kabla ya kupost jaribu hata ku google mkuu, kiini ndio mbegu?
kuku ninao ya nini ku google ndio nikomenti wakati hayo mayai hayana muunganiko wa genetic za jogoo? Hata jogoo mwenyewe huwa anataka mayai!
 
kuku nao ya nini ku google ndio nikomenti wakati hayo mayai hayana muunganiko wa genetic za jogoo? Hata jogoo mwenyewe huwa anataka mayai!
Nimeiona Kwa Goose Anataga Ila Mayai Hayana (Hayatoi Vifaranga) Wajuzi Wakasema Lazimaa Upate Dume Ndiyo Utaweza Kupata Vifaranga Kuendeleza Uzao Wao
 
Je jogoo anapaswa kumpanda tetea kila siku ili kurutubisha kila yai ? Au akipanda ata mara 1 inatosha?
 
Ni muhimu kujua imethibitikaje kama ni tafiti aoneshe ilifanyika wapi na nani.
Tuliopata bahati ya kuishi vijijini na bibi, kusikia kauli hii 'Chukueni mayai mkaange maana hayana jogoo' ni kauli ya kawaida sana.
Binafsi ninashangaa hii imekuwaje mada, maana hili jambo nilifikiri linafahamika wazi, kumbe sivyo.
 
mimi sikuwahi kulifahamu hili hadi niliposoma bandiko hili
 
Back
Top Bottom