uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Rais aliyetimuliwa madarakani al Bashir aliwamilikisha na kubinafisisha kila kitu kwa waart asilimia kubwa ya uchumi wa Sudan ukawa chini ya Waarabu.
Wale wasio kuwa na ukaribu na waarabu wakawa kama sio Wasudan.
Kiufupi Waarabu walimilikishwa kila kitu kuanzia ardhi na raslimali zote.
Wale wa sudani kusini wakawa wageni wa nchi wasiokuwa thamani, mwarabu akamiliki nchi kupitia Rais mwenye mrengo wa kigaidi Al Bashir.
Ndio wasudani kusini wakaanza vita vya kujitoa sudani kuu.
Vita ikichukua miaka 30 lkn wakajikomboa kutoka kwenye mikono ya watu wa dhuluma na ufisadi na kubaguliwa.
Tanzania tuna nafasi ya kutunza tunu zetu alizotuachia Baba wa Taifa.