Je wajua? Wakati wa hali ya hewa ya baridi, mijusi dume hujining’iniza kichwa chini miguu juu ili jike apate usingizi mzuri

Je wajua? Wakati wa hali ya hewa ya baridi, mijusi dume hujining’iniza kichwa chini miguu juu ili jike apate usingizi mzuri

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
Je, ulijua?

Wakati wa hali ya hewa ya baridi au msimu wa mvua, mijusi dume hujining’iniza kichwa chini miguu juu ili jike apateusingizi mzuri kwenye kajoto na kwa raha.


1744633327199.jpg
Kwa kufanya hivi, huonesha jinsi alivyo mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati kwa mwenzie.

Dume hukaa katika nafasi hiyo kwa masaa mengi hadi jike aamke.
 
Siwezi kufanya yote hayo wakati kesho tu kibamia changu kitanadiwa hadharani
 
Je, ulijua?

Wakati wa hali ya hewa ya baridi au msimu wa mvua, mijusi dume hujining’iniza kichwa chini miguu juu ili jike apateusingizi mzuri kwenye kajoto na kwa raha.View attachment 3303957 Kwa kufanya hivi, huonesha jinsi alivyo mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati kwa mwenzie.

Dume hukaa katika nafasi hiyo kwa masaa mengi hadi jike aamke.
Mkuu sio kwamba hapo Shamba lipo juu ya jembe au
 
Back
Top Bottom