Je, ulijua?
Wakati wa hali ya hewa ya baridi au msimu wa mvua, mijusi dume hujining’iniza kichwa chini miguu juu ili jike apateusingizi mzuri kwenye kajoto na kwa raha.
View attachment 3303957 Kwa kufanya hivi, huonesha jinsi alivyo mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati kwa mwenzie.
Dume hukaa katika nafasi hiyo kwa masaa mengi hadi jike aamke.