Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

Wewe tafsiri upendabyo, si ndivyo mlivyozoeshwa kudanganyana kanisani. Yesu anasema "mimi mtu" nyinyi mnasema "yesu "Mungu" wakati hakuna sehemu yoyote kwenye biblia Yesu kasema "Mimi Mungu". Hivi hamuoni haya kumuabudu mzungu?

Lakini Biblia si umeiaona isemavyo, au nikuwekee ya Kiswahili ndiyo utaelewa zaidi? Ipo hata ya kihaya, ukipenda ntakuwekea.

Hijab inanipa freedom ya utu wangu kuliko unavyofikiria, jaribu utajionea. Hata biblia basi unaidharau inaposema:

Wakorontho 11:
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

Si unaelewa hapo, sasa nikufate wewe au biblia?

Hapo sasa!
 
Wakorontho 11:
6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

Tatizo lako wewe unafanya copy and paste. Hebu tusome pamoja na kisha tukubaliane:

5. Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.

6 Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.

7 Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume.


Hii ni barua kwa Wakorintho yenye kufichua udhaifu wa mapokeo ya Wakorintho yasiyokubalika Tanzania.

Wakorintho hawakuamini katika usawa wa binadamu mwanamke na binadamu mwanamume.

Hii ndio dosari ya mafundisho ya uislamu yanayoruhusu ndoa za mitala.

Ndoa za mitala ni kinyume na kifungu ch 12(1) cha Katiba ya Tanzania (1977)

Hijabu ni alama ya ndoa za mitala.

Hitimisho: Kuvaa hijabu ni kitendo cha kuvunja Katiba ya Tanzania, na Katiba ya tanzania inapingana na mapokeo ya Wakorintho kuhusu jambi hili.

Kama unaukubali Utanzania na kuukataa Ukorintho, basi vua hijabu na katubu leo!

 
Katika hili suala la usawa wa binadamu mwanamume na binadamu mwanamke, wala usifuate Biblia wala mimi, bali fuata Katiba ya Tanzania (1977), ibara ya 12(1).
Hapo ndipo unapojidanganya, hakuna usawa wa maumbile kabisa. Muumba wetu aliyetuumba katupa kila mmoja wetu uwezo wake na majukumu yake, huo usawa wa unaouongelea wewe ni wakijinga tu, mjaze mimba mumeo basi, ili muwe sawa kikatiba.

Nakushauri isome Qur'an uzijuwe haki zako kama mwanamke. Msikilize huyu mwanamkee maarufu sana, kilichomtokea, huyu hata hapa Tanzania alitembelea:


View: https://youtu.be/nFqtZd0y_0g?si=nTaCFZUhcRVhyoVR
 
mkuu unaandika upuuzi, kupokea sakaramenti na kusoma india sio justification ya kuja kudhihaki viongozi wa dini, wana wajibu wao na nyaraka hazikuanza leo, hata barua tunazosoma kutoka kwa mtume paul ni nyaraka, ni kiongozi wa dini alipaza sauti zake, umemsoma nabii Isaya, Mica, Yeremia,walivyokuwa wanapinga viongozi wapumbavu wanaouza watu wao kwa shekeli? Paschal hujui Dini, unadhani kazi ya viongozi wa dini ni kumsifia rais? kazi ya kiongozi wa dini ni kupaza sauti kwa vitendo, walichokifanya tec na kutoa waraka huoni matunda yake, leo si tunaona upuuzi wa kupindisha sheria za maliasili za mwaka 2017 zimeondolewa bungeni.


tumia kichwa chako vizuri, unaandika pumba kudhihaki viongozi wa dini, kwa maslai ya uchawa wako, wakati wao ni raia na wana dhamana kwa watu wao kwa kudni walilokabidhiwa.

huwezi kuwatenganisha wakatoliki na viongozi wao wa dini sana zaidi wanakuona mjinga fulani na mchumia tumbo, endeo kuhangaika pengine watakukumbuka
 
Ya bro hata hausomeki Mungu akuwezeshe upate uteuzi tuu naona njaa inakusumbua sana

Kila sehemu pana taratibu zaka hata za kiimani, hata shetani alivyobishana kidogo tu na Mungu alihesabika ameasi akatupwa dunia
Pia hapa dunia hatujawai kumuana Mungu wote kwa macho yetu ya nyama, makatazo yote tumefundishwa na hao wachungaji na maaskofu vingine vimeandikwa na vingine havija andikwa ila tunamini kutokana na mapoke tuliyopewa ila wakati Mungu anasema nao hatukuwepo kabisa ila tunamini tu cos sauti yao tunamini ni sauti ya Mungu (Mungu hatujawai muona aukumsikia ila kupitia watu)
Ngoja nikumbushe kidogo Musa aliongoza kundi kutoka misri hadi nchi ya ahadi watu walio pingana na Musa walipangamia, kwa hiyo sauti ya Musa ni sauti ya Mungu direct na walikufa wote walio pinga.

Kwa uliwengu wasasa hatuna Musa wala manabii wa zamani walio ongea moja kwa moja na Mungu sio kwamba kukosena kwa hao Mungu haongei na watu nakuwaonesha yajayo, Mungu bado anaongea na watu wake hata sasa
miaka 2000 ijayo haya ya TEC waliyo shauri government yatakusanywa na watu naya tasomwa na waumini watashanga jinsi pascal alivyo pingana na sauti ya Mungu kupitia viongozi wake kwa sababu wewe hauna kipimo cha kupimia kuwa hili limetoka kwa Mungu au laa. Kumbuka hata waliopingana na Musa, manabii, Yesu na mitume mbali mbali hawakujua kama wanapingana na Mungu direct ila mabaya yalipo wakuta watuwengine wakajifunza kutoka na waliopinga walikuwa wamepatwa na mabaya baada ya kubishana na Mungu na yakaandikwa kwajili ya mafunzo kwa watu wengine. Na wewe Pascal Mayalla ogopa kuwa mfano Mbaya kwa vizazi vijavyo kwa kupinga viongozi wako kwa kuwa mjuaji sana

Hata kipindi cha Yesu waandishi walionywa sana na Yesu kuandika mambo yauomgo na kupotosha watu kwa ajili ya kutaka sifa za watawala. sehemu nyingi waliungana waandishi na mafarisayo kutaka kumuuwa Yesu na kwao pia imekuwa fundisho kwetu.

Kuzaliwa katoliki sio shida sida nipale unapobishana na viongozi wako ambao wamekuacha mbali sana kuanzia elimu ya dunia hii na elimu ya Mungu. Acha mara moja kubisha na viongozi wako angali usije ukawa mfano mbaya kwasababu ya ugali wamuda mfupi

Njaa mbaya sana
 

Well said mkuu Pascal Mayalla

Utatu unaoundwa na jamii, siasa na uchumi hautenganishiki kirahisi hivi. Maana watu (jamii) ndio inajiwekea miongozo, kanuni na taratibu (siasa) ili kuzalisha na kutumia rasilimali chache zilizopo (uchumi).

Ndiposa tafakuri na tathmini ya utatu huu ili ikamilike shurti iweke pamoja nadharia hizi kwenye kapu moja. I mean, nothing is purely social, nothing is purely political and nothing is purely economical. The triplets are closely intertwined.
 
AlhamduliLlah Qur'an ina challenge, unazijuwa challenges za Qur'an?

Qur'an haina shaka ndani yake. Kumbuka hilo.

Hebu nieleze nizijue...ila nina shaka kama unatumia Quraan. Kuna kitabu kingine unachotumia, ambacho kinakuletea ujuaji wenye ukakasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…