Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

Tecc ni kikundi Cha walevi
 
M
Mungu c wapo wengi inategemea unamuabudu yupi. Hata huyu unajaribu kumtetea inawezekana ni Mungu kwako.
 
Kasomee nawe upadre
 
Sauti wengi ni sauti ya mungu.
 

You are giving yourself a big and unnecessary job.

Believing or disbelieving is a personal matter and, frankly, I do not know why someone should give themselves the responsibility to coerce others into believe what they believe.

Believe what you believe and let others enjoy the freedom of belief in peace as guaranteed by: "article 18 of the Universal Declaration of Human Rights". This is tolerance, brother.
 
Viongozi wa kibongo ni wanafiki sana pamoja na watu kama Pascal, wanaposifiwa na viongozi wadini ,hawachanganyi dini na siasa ila wakikosolewa ndio wanachanganya dini na siasa, kwa huu unafiki hii nchi itaendelea kudumaa
 
Mapadre (wakiwemo maaskofu) wamepewa mamlaka hayo:

Mathayo 18:18
Amin, nawaambieni: yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni, na yoyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
Sahihisho kidogo.

Siyo mapadree na maskofu wenye mamlaka haya bali ni kila aliye na anayemwamini Yesu Kristo (ukiwemo wewe) kama ilovyoandikwa;

"...Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa. Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya; watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya..."
Mk 16:15‭-‬18 SUV

Kwa uelewa zaidi Yesu Kristo akasisitiza na kugongelea nyundo na kutoa mamlaka hii kwa kila aaminye

"....Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru..."

Lk 10:19 SUV

Neno hili linampa mamlaka kila mtu anayeamini sio kila padri au askofu tu. Basically watu kama kina Pascal Mayalla pengine hawajui nguvu na mamlaka ya waliyonayo waliomwamini Yesu Kristo..!

Kuna mchungaji mmoja huko Mbeya anaitwa Mch. Mbarikiwa Mwakipesile yeye na waumini wake wanafunga na kuomba [kwa kutumia kikamilifu mamlaka hii ambayo Yesu ameiotoa Kwa waaminio]maombi maalumu kwa Mungu Yehova ili utawala wa CCM uanguke kabisa Tanzania

Hili si la kawaida kutokea. Mara nyingi huwa tunafanya maombi kuiombea serikali itawale Kwa amani. Lakini Leo ni kinyume chake. Yanafanyika maombi ya kuiangusha serikali. Mungu ameruhusu hili na adhabu inakuja Kwa CCM na serikali yao.

Na kibaya zaidi Kwa watawala, wanadhani mchungaji huyu ni mwehu kachanganyikiwa. Hajachanganyikiwa!!​
 


Usilijibu hili li salfety
 
Mr P samahani hivi umewahi kujiangalia kwenye kioo miaka mitano back na Sasa? Nakuhusia tu Mungu yupo. Haya mabandiko ya vina vizito ila yanaharakisha asira ya Mungu kwa Taifa na mweka mabandiko Embu tuache tumuombe Mungu. Kwenye hili maana Siri ni nzito kuliko uhalisia na sisi wa Tz niwanyonge ila Mungu wetu sio mnyonge hata sasa anaenda kutenda mema kwa Taifa. Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…