Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

Kama taifa linapotoka namaasikofu wamekaa na kanzu zao kimya tu sijui watakuwa wanamtumikia mngu yupii,,,ila akina May mayalla kitu nashangaa sana inawrzekana vipi mwanaume na pumbu zako mbili ukawa chawa wa mwanamke???hivi mnaw3zaje??
 
Aliyesema Mayala maana yake ni njaa alikuwa sahihi.

Mayala pamoja na kuclaim kuwa amesoma sheria lakini Mayala haoni shida kwenye issue ya mkataba wa DPW anaona tu serikali iendelee na mchakato huu.
 
 
Wokovu ni mwili na roho. Wasukuma kwa uchawa hamjambo.
 
Kadri unavyozeeka uwezo wako wa kufikiri na kuchanganua hoja unapungua!
 
Mkubwa sitaki kuamini kaka na wewe umeongwa na pesa au uteuzi
 

Wahuni wanasema imeenda hiyo.....na kana unabisha basi imeenda zaidi.

Kama ikitokea kanisa likaacha rushwa iwe halal kwenye maisha ya watu wachache, kiasi kwamba maisha ya wengi yakawa hayana thamani, kazi ya kanisa itakuwa nini?

Tumeona South America zaidi wakati wa misukosuko ya vita baridi, jinsi viongozi kadhaa wa kanisa waliposimamia ukweli, wengine mpaka kuuwawa.
Pence ukweli, uongo hujitenga.
 
Kanisa la katoliki la Kirumi (Roman Catholi Church} halijawahi kumuani Mwenyezi Mungu mmoja.

Ukatoliki ni imani ambayo utamaduni, mila, mila na kanuni za kanisa katoliki tu zinaOkubaliwa na kufatwa.

Huanzia kwa ubaba wa duniani huishia kwa ubaba wa duniani, kinyume hata na biblia yao, binafsi siamini kama biblia ni kitabu cha Mungu, nainukuu kwa kuwa wao ndicho kitabu wanakitumia kudanganyia watu.
 
Paskali .Ongera kwa kuleta thread ovyo kuliko zote miongoni mwa thread zako ovyo ambazo uliwahi kuleta humu ndani na nje ya humu.

Leo nakukosoa kwa ukali hili ujue kwamba si kila unaloliandika humu ndani linasomwa na ignorant folks na silly empty headed little Kids .Mada zako nyingi za ovyo sometimes zinapata likes from cynical empty headed folks na hii hukufanya ujisikie upo vizuri na kuendelea kupost meaningless threads.

Unaposema Viongozi wa Dini wanachanganya siasa na dini what do you mean Bro?Aren't you seeing whats going on out there?Are you blinded by your greedy and selfishness!? When political leaders attend religious gatherings and yell out their cynical speeches huwa wanafanya nini?.Haukuwaona recently!!?? Au unajitoa akili? Wanasiasa wanapoalikwa kwenye shughuli za kidini kwa nini huwa hawakatai kwenda wakati wanajua miongozi ya kiserikali na Katiba ya nchi inasema nini kuhusu Dini na Serikali?Wewe ni Mwanasheria au siyo,Kama ndio, tuambie, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inasema nini kuhusu Serikali na shughuli za Kidini.

Unasema wewe ni Mkatoriki Die hard then huamini na unapinga wanachokisema Viongozi wako wa ngazi ya juu kwenye Kanisa! hivi kweli wewe ni mkatoriki die hard?Umetumia kichwa chako cha juu kufikiria na kuandika thread hii au matako?

Siyo kawaida yangu kukosoa kwa namna hii, nimeandika na nakukosoa wewe Paskali ili siku nyingine uandike uzi wa maana ,usio na dharau kwa maoni ya Viongozi wa Dini pale wanapoiongoza Serikali kwa kuipa mtazamo wao kuhusu suala fulani nyeti lenye maslai mapata kwa Taifa letu na ujue kwamba humu jukwaani wapo wanaojielewa beyond your horizon

Paskali Tubu,

Article.
 

Kaa kimya, nenda mbali shetani, wala usiongelee mambo usiyo na uelewa nayo. Shetani unayemwabudu amekunyima ufahamu ili uendelee kuwa mtumishi wake mtiifu mpaka siku ya mwisho. Katika moyo wako, shetani ameweka makao yake ili uyanene yaliyo yake.
 
Umemweleza mengi yaliyo ya kweli bwana Pascal. Jambo moja nasisitiza pale uliposema eti anasema yeye Pascal ni mkatoliki die hard, ukweli ni kuwa yumkini bwana Pascal ni mkatoliki wa jina au mkatoliki wa mkumbo lakini haujui ukatoliki wala ukristo, wala halijui neno la Mungu.

Hakuna mkristo au mkatoliki anayeshindwa kuelewa kywa kupokea rushwa ni dhambi. Hakuna mkristo au mkatoliki asitejua kuwa kuuza mali za mamilioni ya wananchi, wakiwemo maskini, kwaajili ya kujinufaisha machache ni dhuluma dhidi ya umma, na kudhulumu ni dhambi, tena izaayo laana. Halafu huyu Pascal anayejiita ni mkristo mkatoliki anasema kuwa maaskofu wakimemea dhuluma na kujitenga na dhuluma, wanafanya siasa.

Pascal aendelee kuandika hadithi zaje ziluzojaa humu ambazo nyingi hazina contents, aachane na mambo yanayohusiana na mafundisho ya kiimani.

Maaskofu wamefanya vema kwa kadiri ya agizo la Mungu, na kwa kufuata mapokeo. Manabii wa Mungu tangu kale waliwaonya watawala wanaodhulumu watu, na wengine waliishia kuwaua hao manabii LAKINI mwishowe mkono wa Mungu ulitenda dhidi ya watawala hao wenye kutenda dhuluma.
 
Unamaanisha TEC haina tofauti na wale wahuni wanaouza raslimali za nchi kwa wageni, na huku wakiwaumiza wananchi kwa tozo na kodi za hovyo, au!!
Hapana simaanishi hivyo. Naposema genge la wahuni nazungumzia lile genge la wa wafa maji waliokosa hoja ambalo kazi yake ni kuishi Kwa matukio mara Katiba mpya mara tume huru ya uchaguzi na sasa bandari. Hata halieleweki nini linasimamia
 
Ni bora ukakaa kimya, unajiaibisha kama alivyokubali kujiaibisha FaizaFoxy
 
nafsi siamini kama biblia ni kitabu cha Mungu, nainukuu kwa kuwa wao ndicho kitabu wanakitumia kudanganyia watu.
Jee mtu akisema kuwa Quran ni kitabu kinachotumika kudanganyia watu uko tayari kuvumilia??

Jee mtu akisema Mtume
Mohamed si mtume wa Mungu utakaa kimya!!

Jee wale wanaochoma Quran kwa kuona ni kitabu tu kama vitabu vingine vya hadithi unawaunga mkono??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…