KABIDO
Member
- Oct 26, 2015
- 74
- 117
*Je, WAJUA?*
*Kicheche ndiye mnyama mdogo sana
lakini ana maajabu makubwa. Ana
uwezo wa kumdaka kuku wa aina
yoyote kwa kutumia mkia wake lakini
cha ajabu zaid hawez kuish bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa
kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia
ni sawa na kukimbia umbali wa Km
360 kwa siku. Na ndio maana mtu
malaya sana huitwa kicheche najua
wajua ila nakujuza zaidi.*
*Kicheche ndiye mnyama mdogo sana
lakini ana maajabu makubwa. Ana
uwezo wa kumdaka kuku wa aina
yoyote kwa kutumia mkia wake lakini
cha ajabu zaid hawez kuish bila kufanya mapenzi, ana uwezo wa
kufanya mapenzi mara 26 kwa siku pia
ni sawa na kukimbia umbali wa Km
360 kwa siku. Na ndio maana mtu
malaya sana huitwa kicheche najua
wajua ila nakujuza zaidi.*