Je wajua?

chambimagaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
288
Reaction score
338
*Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwanga..........[emoji250]*

*Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII[emoji35]*

*Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII[emoji51]*

*Kukenua mpka jino la mwsho kwa msg za kuchekesh na uc comment nao ni UCHAWII[emoji57][emoji57]*

*Kujaza wingi kwa Group kila link unayoona wakat hijawah kupost hata hewa uo nao ni UCHAWII[emoji274]*

*Kukaa kimya mda wote wakat upo online ukafikiri una mkomoa Admn wakat bando ni lako uo nao ni UCHAWII[emoji38][emoji38]*

*Ongezaa uchawii mwingine unaoujua...........*

.
.
.
.
.
.
 
KUKAAA NAKUANZA KUFUATILIA MAISHA YA WATU WAKATI HUWA SAIDII HATA KUNUNUA BUNDLE HUO NAO NI UCHAWI....

hahaaaa
 
Hatutaki definitions za kuokoteza hapa! Lete vitu Realistic ulivyofanyia utafiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…