Je,wajua??

Je,wajua??

Dr.Mwakasege

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
10
Reaction score
0
kwanini baadhi ya dawa zinaandikwa (tumia baada ya kula)?

Doctor anapokupa dawa na kuandika maneno yale anakuwa anatambua ni Acid kiasi gani inapatikana katika kidonge hicho.
Sasa pale unapo fanya kinyume ni dhairi kwamba kuna uwezekano wa kupata madhara,kwasababu vidonge vya namna hii huwa na acid ambayo huwa inameng'enya chakula kwa haraka sasa pindi unapo kunywa bila kuwa na chakula Tumboni kinacho fanyika ni kwamba hicho kidonge kitaanza kukwangua Utumbo na hivyo kusababisha vidonda vya Tumbo.
 
Back
Top Bottom