je wajuaaaa?

je wajuaaaa?

Je wajua huu uzi utakuja kuharibika huko mbele baada ya watu kuleta koments za SIMBA vs YANGA, CCM vs CHADEMA,MAREKANI vs RUSSIA, MAKONDA vs EU, AMBER LUTWI vs JF MEMBERS.?
 
je wajua..95% ya watanzania wanapata lunch yao kuanzia saa 9 mpaka saa 10 jioni
 
Je wajua, watu wasiojitambua na maskini ndiyo wafuasi wa kile chama cha kijani
 
Back
Top Bottom