Elections 2010 Je wajuwa?

Elections 2010 Je wajuwa?

Nungunungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2007
Posts
311
Reaction score
13
Kwamba Rais wa Tanzania anatakiwa kuwa Mkatoliki au Muislam. Fuatilia tulipotoka, tulipo na tunakoelekea.
 
Kwamba Rais wa Tanzania anatakiwa kuwa Mkatoliki au Muislam. Fuatilia tulipotoka, tulipo na tunakoelekea.

Mijadala hii kwanini isifungwe? we ukienda hospitali unatafuta dini au huduma kwanza?
 
Muulize Lowasa na Malecela watakwambia umuhimu wake.
 
Mwezeshe Dr. Slaa kwa kutuma neno "CHADEMA" kwenda 15710. Tanzania hii ipo mikononi mwetu.
 
Back
Top Bottom