Je, Wakristo wanaongoza kubaguana kuliko dini nyingine?

Je, Wakristo wanaongoza kubaguana kuliko dini nyingine?

Kubaguana kupo sana tu, mpaka masuala ya ndoa wanabaguana, mpentekoste hawezi kumuoa mkatoliki au mlutheri. Ilifika hadi wapentekoste kwa wapentekoste kutokuoana, yaani mshirika wa TAG kutoruhusiwa kuoa au kuolewa na mtu wa EAGT, FPCT na KLPT. Japo wana umoja wao wa wapentekoste lakini kuna ushirikiano wa ibada haupo. Kuna wasabato na wakatoliki hawa huwaona wenzao kama wamepotea na wao wako sahihi.
Siyo Kweli
Mimi Mluther Nimeoa RC

Upendo Upo
 
Siyo Kweli
Mimi Mluther Nimeoa RC

Upendo Upo
upendo upo wapi huko? Nani asiyejua wakatoliki wanaona madhehebu mengine si lolote? Sheria ya ndoa haina ubaguzi wa dini mradi tu ifungwe kanisani kwao na muumini wake kubaki mkatoliki na watoto atakaowazaa watakuwa wakatoliki. Katoliki iko kimya lakini ina kiburi na majivuno dhidi ya madhehebu menine. Walutheri nao wameanzisha fellowship zinazofundisha kama wapentekoste ili wasikimbiwe na waumini wao kwenda kwenye malisho bora kwingine. Mahubiri ya kiluturijia yanawachosha waumini, maana ni yaleyale yanahubiriwa nchi nzima mstari huohuo. Inabidi waumini watoke wakatafute mahubiri bora kwingine
 
Kubaguana kupo sana tu, mpaka masuala ya ndoa wanabaguana, mpentekoste hawezi kumuoa mkatoliki au mlutheri. Ilifika hadi wapentekoste kwa wapentekoste kutokuoana, yaani mshirika wa TAG kutoruhusiwa kuoa au kuolewa na mtu wa EAGT, FPCT na KLPT. Japo wana umoja wao wa wapentekoste lakini kuna ushirikiano wa ibada haupo. Kuna wasabato na wakatoliki hawa huwaona wenzao kama wamepotea na wao wako sahihi.
Hili si kweli na ni upotoshaji
 
Nimejaribu kuangalia hali ya upendo Kati ya madhehebu mbalimbali ya kikristo,hali inasikitisha. Kila dhehebu linahubiri upendo kivyake ilhali wanawabagua wenzao wa dhehebu lingine.Hali hii inasababishwa na nini Je Kristo amegawanyika?

Binafsi familia niliyotoka nimefanikiwa kuona SDA (wasabato) VS RC(wakatoliki),huwezi kuamini kwamba wanatumia kitabu kimoja (BIBLE). Ushakutana na vita ya WALOKOLE (TAG, EAGT, EFATHA, MAKANISA YA MANABII) VS hao wengine ?

Je Mwili wa Kristo umejengwa kwa misingi ipi? Ni Nani aliye sahihi Kati yenu? Je mmeshindwa kabisa kupendana! Hakuna wanafiki Kama Hawa watu, ukitaka kujua hawapendani binti yake achumbiwe na dini nyingine! Utaona moto wake ilhali wote ni wakristo!

Mbona ndugu zetu waislamu pamoja na madhehebu yao wana umoja na upendo? Biblia inasema mpende jirani yako kama unavyojipenda je SDA anampenda RC Kama anavyojipenda? Je RC anampenda mwamposa Kama anavyojipenda? Je walokole wanawapenda wasabato Kama wanavyojipenda?

Tupendane ndugu zangu hii ni amri kubwa kuliko zote.
Mm naona ukristu siyo dini halali mbele ya Mungu
 
Back
Top Bottom