Je, Wakristo wanaongoza kubaguana kuliko dini nyingine?

Siyo Kweli
Mimi Mluther Nimeoa RC

Upendo Upo
 
Siyo Kweli
Mimi Mluther Nimeoa RC

Upendo Upo
upendo upo wapi huko? Nani asiyejua wakatoliki wanaona madhehebu mengine si lolote? Sheria ya ndoa haina ubaguzi wa dini mradi tu ifungwe kanisani kwao na muumini wake kubaki mkatoliki na watoto atakaowazaa watakuwa wakatoliki. Katoliki iko kimya lakini ina kiburi na majivuno dhidi ya madhehebu menine. Walutheri nao wameanzisha fellowship zinazofundisha kama wapentekoste ili wasikimbiwe na waumini wao kwenda kwenye malisho bora kwingine. Mahubiri ya kiluturijia yanawachosha waumini, maana ni yaleyale yanahubiriwa nchi nzima mstari huohuo. Inabidi waumini watoke wakatafute mahubiri bora kwingine
 
Hili si kweli na ni upotoshaji
 
Mm naona ukristu siyo dini halali mbele ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…