Je, Wakristu wanaruhusiwa kushiriki chakula cha Waislamu wanachoandaa baada ya kumaliza siku ya arobaini za msiba?

Je, Wakristu wanaruhusiwa kushiriki chakula cha Waislamu wanachoandaa baada ya kumaliza siku ya arobaini za msiba?

Muislam mkaribishe kwako, mvalishe, mpe chakula, mpe pa kulala, akishiba anakuona wewe itikadi zako Mbaya anakuua anataka Aishi yeye peke yake. Ndio Imani yao
 

Attachments

  • IMG_4168.jpeg
    IMG_4168.jpeg
    767.4 KB · Views: 1
KULA NA KUNYWA CHAKULA ULICHOPEWA/KARIBISHWA na mtu yeyote katika tukio lolote
..inafaa uongozwe na amani ya moyo wako(ROHO)mtakatifu aliyeko ndani yako.
Kama roho/ndani ya nafsi yako unakosa amani au unapata amani kula chakula au kunywa kinywaji ulichopewa na mtu yeyote bila kujali dini yake hata kama mna share imani moja .
SIKILIZA ndani ya nafsi yako kama unakosa amani au unapata amani ya nafsi juuu ya kufanya jambo lolote hata kusafiri tu.(SIKILIZA moyo wako/Roho mtakatifu) anavyokushuhudia ndani mwako ndio ufuate sidhani kama UNALAZIMISHWA KULA.
Pia sidhani kama mfiwa ANALAZIMISHWA kuwalisha wote waliofika msibani..kama hajisikii kuwapa chakula wengine .

BIBLIA INATUAMBIA
Tufanye yote kwa utukufu wa MUNGU tukiongozwa na ROHO(Roho mtakatifu).
USHAURI WANGU kama itakupendeza kuufuata USIPENDE KULA kwenye sherehe au misiba au kwa watu,zamani tulipokuwa wadogo tulikuwa tunakatazwa kula kwa watu.CHAKULA ni lango,ni maagano ni ibada.Unakumbuka MESHACK,SHEDRACK,ABEDINEGO walikataa kula chakula cha mfalme na kunywa divai yake mfalme.USIPENDE KULA KULA OVYO KWA WATU utajiepusha na mambo mengi.
PIA USIPENDE KUPEWA PEWA vitu vya bure au ofa za bure.
 
Hapana.

Allah is the devil himself.

We can not worship the devil.
 
Hamna mkristo anayejali mambo ya misosi ndo maana nyama karibia zote buchani wanachinja waislam lakini hakuna anayeuliza imechinjwa na nani
Hayo ndiyo maadhara na maangamizi ya upumbavu tuliojazwa na dini. Mbona wanaponunua nyanya hawaulizi kama zililimwa na mwenzao? Upumbavu mtupu.
Yani hapa wazee hizi imani za kumezeshwa mzee ni zinaleta mpasuko sana
 
Kama hio 40 inaendeshwa Kama ibada, ni tatizo, majini yataanza kukufuatilia, umekulaa misosi yao, kama hujui hakuna shida, andiko linasema " kuleni bila kuuliza uliza kwa ajili ya dhamiri"
 
Njoga waje tupate elimu

Lakin mimi nakumbuka nilienda kwenye hiyo hatma siku moja niliona hicho chakula hasa nyama ikichanganywa na vitu na wazee watukufu wa kiislamu ambavyo mimi sikuvielewa hivyo vitu ni nini

Hivyo sikula kabisa hiyo nyama siku hiyo

Mda wa msosi nilikula Kona

Lakin ngoja wajuvi waje tupate elimu gTurn DR Mambo Jambo
Nashukuru, kwanza kabisa utaratibu wa 40 haupo katika Quran, wala Sunna ni Watu kwa mapenzi yao wameanzisha haki za maiti ni 3 tu kama sijakosea Kumuosha,kumswalia,kumlipia madeni na kumuhifadhi kisheria kaburini. Lakini kula kunywa kukaa msibani hizo sasa ni mbwembwe zetu lakini hazina ulazima wowote. Na ndio zinasababisha Watu wabaya kufanya yao hivyo kijamii sio lazima kwa mkristo au msilam kuhudhuria sherehe hizo lakini hakatazwi kushiriki kutokana na kijamii kushirikiana ndugu na jamaa Allah Aalam
 
Nashukuru, kwanza kabisa utaratibu wa 40 haupo katika Quran, wala Sunna ni Watu kwa mapenzi yao wameanzisha haki za maiti ni 3 tu kama sijakosea Kumuosha,kumswalia,kumlipia madeni na kumuhifadhi kisheria kaburini. Lakini kula kunywa kukaa msibani hizo sasa ni mbwembwe zetu lakini hazina ulazima wowote. Na ndio zinasababisha Watu wabaya kufanya yao hivyo kijamii sio lazima kwa mkristo au msilam kuhudhuria sherehe hizo lakini hakatazwi kushiriki kutokana na kijamii kushirikiana ndugu na jamaa Allah Aalam
Ubalikiwe sana Asante sana kwa elimu

Hakika MWENYEZI MUNGU amekujalia kauli thabete kama alivyowajalia wafuasi wa YESU KRISTO
 
Njoga waje tupate elimu

Lakin mimi nakumbuka nilienda kwenye hiyo hatma siku moja niliona hicho chakula hasa nyama ikichanganywa na vitu na wazee watukufu wa kiislamu ambavyo mimi sikuvielewa hivyo vitu ni nini

Hivyo sikula kabisa hiyo nyama siku hiyo

Mda wa msosi nilikula Kona

Lakin ngoja wajuvi waje tupate elimu gTurn DR Mambo Jambo
Acha ushirikina wewe, njaa zako zisikae makalioni, kuwa na fikra pevu.
 
Katika chakula wengi wameingia katika maagano ya kipepo kishirikina ambayo yamebadilisha hatma/mustakabali wa maisha yao.
SISHAURI KULA KULA VYAKULA OVYO kwenye SHEREHE AU MISIBA.

2.Hata kupewa vyakula vya zawadi au zawadi zozote mfano unaletewa zawadi ya nyama mbichi hasa siku za sherehe au unapewa chakula cha bure siku za sherehe n.k

Wakati mwingine vyakula vile vinakuwa VIMENENEWA/NUIZIWA au MAKAFARA au MATAMBIKO yamefanywa wakati wa kuchinja au kuandaa vyakula.Hivyo ukila vyakula hivyo unakuwa umeingia katika maagano hayo.

Wengine wanakusanya maji waliyotumia kiwanawisha mikono walaji yale maji yanakusanywq sehemu moja ya wote walionawa mikono yao kabla na baada ya kula kwa ajili ya shughuli mbalimbali za giza.
N.K
HIVYO UKIWEZA KUJIZUIA USILE SILE OVYO KWENYE SHEREHE AU MISIBA na usipokee zawadi zawadi mbali.mbali sio lazima chakula vitu mbali mbali hata nguo.
KUPITIA KUPOKEA ZAWADI AU KULA KWA WATU unaweza ukawa umefanya biashara ya KUUZA vitu vyako vya samani hatma yako kwa sahani ya chakula au zawadi unayopokea.

KWENYE BIBLIA kuna mfano wa ndugu wawili mmoja aliuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa sahani ya supu.USIPENDE KABISA KULA KULA OVYO KWA WATU...ITAKUSAIDIA SANA.
Hata vitu au vyakula au vitu tinavyonunua hata SOKONI tu kuhemia ,navyo inatupasa kuviombea kuna VITU au vyakula unaweza ukanunua sokoni au kwa mtu anauza hata kama ni bites n.k lakini vina maagano amevinenea laana juu ya wote watakaoenda kula ,na umenunua sokoni sio wote wanaouza sokoni wanauza vitu vya nuru vingine vina maagano na ufalme wa GIZA.

DAWA NI KUOMBA KUSALI hata unapoenda sokoni roho mtakatifu akuongoze usinunue vitu kwa wakala wa GIZA na kuviombea .JAPO wakati mwingine kuna baadhi ya vitu bidhaa ni mali ya giza/shetani havitakasiki kwa maombi kirahisi.MUNGU ATUSAIDIE.
Atupe macho ya Rohoni atuepushe na mitego ya nguvu za giza.

NA SIO KUPOKEA AU KUPEWA TU
Hata katika KUTOA au KUNUNUA bado unaweza ukaingia kwenye vifungo vya maagano na kuzimu.Mfano kugawa nguo viatu hata chochote.KUPOKEA NA KUTOA VYOTE kati ya hivyo viwili ,au hata kuibwa kwa kitu chako,mfano mtu anaweza akaiba chakula au nguo au kiatu kutoka kwako na vikatumika against you katika ulimwengu wa ROHO.
SHETANI yuko kazini masa 24 a week 7 kufanya kazi za giza.
Watoto wa Mungu tume relax hatufanyi maombi ,SALA ,maombi,ibada tukidhani tuko salama ?na hatutendi mema katika viwango vikubwa.
 
Back
Top Bottom