Katika siku za usoni, chakula kitakuja kuwa ndio nyenzo muhimu ya nguvu la taifa husika, taifa lenye chakula cha kutosha na cha uhakika ndilo litakuwa na sauti nguvu ya maamuzi. Kwamba atakaeleta ubishi basi ananyimwa chakula, na hapo hapo anarudi kwenye mstari.
Sasa basi, kwakuwa changamoto kubwa ya uzalishaji wa chakula imekuwa ni mvua zisizo za uhakika na kupelekea mazao kukauka, wakulima wamejipangaje sasa kuweza kutumia fursa ya kilimo cha umwagiliaji itakayoletwa na kukamilika kwa bwala la Nyerere huko mto Rufiji?
Mkuu hivi ni wakulima wangapi wanatumia maji ya bwawa la mtera,Kidatu na nyumba ya Mungu kumwagilia mashamba yao?Anyway sorry niliassume unajua ulichoandika ndo maana nikakuuliza hilo swali
Mngewasaidia kizuia kuletwa chini viuatilifu feki na kusaidia kitafuta masoko tungejua mko serious na kilimo! Mtu analima zao linamdodea hakuna soko! Konyo kweli ccm
Mkuu hivi ni wakulima wangapi wanatumia maji ya bwawa la mtera,Kidatu na nyumba ya Mungu kumwagilia mashamba yao?Anyway sorry niliassume unajua ulichoandika ndo maana nikajiuliza hilo swali