Je, Wakurugenzi wa Halmashauri siyo watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi?

Je, Wakurugenzi wa Halmashauri siyo watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkurugenzi wa halmashauri ( DED) ndiye msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake la kiutawala na ndiye anayetangaza matokeo baada ya Uchaguzi kukamilika.

Hata sasa DED ndiye anayepokea fomu za wagombea Ubunge na kutangaza walioteuliwa na wale waliokosa wapinzani.

Swali: DED ni mtumishi wa Tume ya Uchaguzi anayepaswa kutoa taarifa kwenye media au ni wakala tu wa NEC?

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom