Mkurugenzi wa halmashauri ( DED) ndiye msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake la kiutawala na ndiye anayetangaza matokeo baada ya Uchaguzi kukamilika.
Hata sasa DED ndiye anayepokea fomu za wagombea Ubunge na kutangaza walioteuliwa na wale waliokosa wapinzani.
Swali: DED ni mtumishi wa Tume ya Uchaguzi anayepaswa kutoa taarifa kwenye media au ni wakala tu wa NEC?
Maendeleo hayana vyama!