Mantheman6
Senior Member
- May 30, 2020
- 169
- 143
Mnafungana kamba tuDaah! Kumbe bodyguard bonge nae amedead [emoji17], nilikua siamini ila kwakuwa umethibitisha basi sina budi kuamini maana taarifa zako sinaga mashaka nazo
Hivi jina lake ni frank au wilfred?