Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Tabiri za mchongo zisikudanganye!View attachment 3139392
Hahaha wewe ndio huelewi, Hillary alimshinds Trump kwa zaidi ya kura milioni tatu, tatizo electoral college ila this time kuanzia Pa mpaka Wisconsin Kamara yupo vizuri, next Wednesday Kamara Harris will be president elect , copy hiiKwa mujibu wa Wikipedia mwaka 2016, Hillary Clinton alikuwa Yuko mbele ya trump kwenye swing states zote pamoja na national poll .., lakini bado trump alimgaragaza, inaonekana watu ni wepesi sana kupoteza kumbukumbu!View attachment 3139391
Watu wa polls wamebadilisha models zao na namna ya kuzichukua, this time no underperformance or over performanceTabiri za mchongo zisikudanganye!View attachment 3139392
Hao watu wa poll ndio wamekwambia kwamba wamebadilisha model zao namna ya kuzichukua au ni mawazo yako binafsi!?Watu wa polls wamebadilisha models zao na namna ya kuzichukua, this time no underperformance or over performance
Obama anatakiwa alaumiwe Kwa kulazimisha mgombea ambae hakujiandaa ππSisemi kwamba Trump hawezi kushinda lakini ikitokea Trump
pamoja na vituko vyake vyote, past and present, akashinda,
nitakiri kuwa the USA, niliyokuja kujiaminisha kwamba naijua, siijui!
Vip Trump anaweza kuchukua ?Obama anatakiwa alaumiwe Kwa kulazimisha mgombea ambae hakujiandaa ππ
View: https://x.com/dwnews/status/1854001046709813656?t=whohNQVDoQC98lqzJstFPQ&s=19
Hata kama angeshinda isingekuwa Kwa margin kubwa kama hii ππKwa afya ya sasa ya Biden jamaa alikua ashinde peupe pia
Ameshashinda Hadi Sasa anasubiriwa Harris ampigie simu ya kukubali tuu.Vip Trump anaweza kuchukua ?
Safi sana πAmeshashinda Hadi Sasa anasubiriwa Harris ampigie simu ya kukubali tuu.
View: https://x.com/spectatorindex/status/1854009765023883461?t=l6gLNMO5gMyTWmS-7nFjSg&s=19
Ina maana hauoni uzee wa BidenKwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla Mwanamke kuwa Rais wa Marekani.
Trump vs Hilary Clinton (Mwanamke)-Trump alitoboa.
Trump vs Harris Kamala (Mwanamke)-Njia nyeupe
Katika mazingira ambayo Dunia inaamini kwenye mfumo dume,Kwa nini Waliomshinikiza Biden ajitoe wakati Aliwahi kumshinda Trump alipopambana nae?
Kiufupi Trump ni mwepesi akishindana na Mwanaume mwenzie ila ni Shujaa akishindanishwa na Mwanamke.
Na mashaka ,hili jambo limepangwa Kwa makusudi na Kimkakati Ili hasa kukomesha vita ya Russia vs Ukraine.
View: https://www.instagram.com/p/DBvBoRkISuv/?igsh=MXIwMzd4N2MwejJ3cA==
My Take
Siku ya kwanza tuu Kamala anatangazwa,Trump aliandika huko X kwamba atashinda asubuhi na anawashukuru Democrats na Biden Kujitoa.
View: https://x.com/dwnews/status/1854001046709813656?t=whohNQVDoQC98lqzJstFPQ&s=19
Yeye hkuona kwamba kazeeka lakini pia Kwa nini wasingefanya kura za maoni Kwa haraka haraka ndani ya Chama?Ina maana hauoni uzee wa Biden
1. Ana sinzia kwenye mahojiano
2.Anapoteza kumbukumbu
3.Ana anguka anguka ovyo
4.Alivyoshindwa kwenye mdaharo....
Rudi siasa za Bongo,huko unavamia usipopajua hata kuchambua...
Mifumo ipo ila je Kuna sababu zipi za msingi zipi za kumwambia ?Hii inaonesha marekani wanajielewa na wanamifumo mizuri ambayo inamwajibisha yeyote bila kuogopa.Fikiria Tanzania Kuna mwenye ubavu wa kumwambia mama pumzika usigombee 2025?Anayeweza kuthubutu kumwambia hivo lazima akubaliane kutumbuliwa au kuzongwazongwa Kila siku na vyombo vya dola.
Biden ana nongwa sana Karma: Joe Biden hajawahi kufurahi namna hii tokea Kamala achukue nafasi yake, Ahutubia ikulu kwa sura yenye tabasamu licha ya Trump KushindaKwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla Mwanamke kuwa Rais wa Marekani.
Trump vs Hilary Clinton (Mwanamke)-Trump alitoboa.
Trump vs Harris Kamala (Mwanamke)-Njia nyeupe
Katika mazingira ambayo Dunia inaamini kwenye mfumo dume,Kwa nini Waliomshinikiza Biden ajitoe wakati Aliwahi kumshinda Trump alipopambana nae?
Kiufupi Trump ni mwepesi akishindana na Mwanaume mwenzie ila ni Shujaa akishindanishwa na Mwanamke.
Na mashaka ,hili jambo limepangwa Kwa makusudi na Kimkakati Ili hasa kukomesha vita ya Russia vs Ukraine.
View: https://www.instagram.com/p/DBvBoRkISuv/?igsh=MXIwMzd4N2MwejJ3cA==
My Take
Siku ya kwanza tuu Kamala anatangazwa,Trump aliandika huko X kwamba atashinda asubuhi na anawashukuru Democrats na Biden Kujitoa.
View: https://www.instagram.com/p/DCBRjA5uZiW/?igsh=MWdkNWQ5YXZhbTZobg==
Niliwahi Kuandika mada hapa jf Sasa yametimia ππKwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla Mwanamke kuwa Rais wa Marekani.