Kwa sababu Kwa Hali yeyote Ile haiwezekani na haiingii akilini mtu mwenye ushawishi mkubwa na ambae ameruka Kila kiunzi wamletee mgombea Mwanamke ashindane nae wakati wakijua haijawahi tokea kabla Mwanamke kuwa Rais wa Marekani.
Trump vs Hilary Clinton (Mwanamke)-Trump alitoboa.
Trump vs Harris Kamala (Mwanamke)-Njia nyeupe
Katika mazingira ambayo Dunia inaamini kwenye mfumo dume,Kwa nini Waliomshinikiza Biden ajitoe wakati Aliwahi kumshinda Trump alipopambana nae?
Kiufupi Trump ni mwepesi akishindana na Mwanaume mwenzie ila ni Shujaa akishindanishwa na Mwanamke.
Na mashaka ,hili jambo limepangwa Kwa makusudi na Kimkakati Ili hasa kukomesha vita ya Russia vs Ukraine.
View: https://www.instagram.com/p/DBvBoRkISuv/?igsh=MXIwMzd4N2MwejJ3cA==
My Take
Siku ya kwanza tuu Kamala anatangazwa,Trump aliandika huko X kwamba atashinda asubuhi na anawashukuru Democrats na Biden Kujitoa.
View: https://www.instagram.com/p/DCBRjA5uZiW/?igsh=MWdkNWQ5YXZhbTZobg==