Je, waliomuua Alphonce Mawazo mkoani Geita wataachiwa huru kwenye rufaa?

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Nimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.

Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu.

Katika hali hii inayoendelea upo uwezekano wauaji wenye nguvu ya fedha au siasa wakaachiwa wote. Moja ya kesi ambayo upo uwezekano wa watuhumiwa kuachiwa ni kesi ya kada wa CHADEMA Mawazo aliyeuawa kikatili na waliodhaniwa ni viongozi wa CCM au waliotumiwa na viongozi wa CCM Geita kama ambavyo iliripotiwa na CHADEMA

Endapo wataachiwa huru CHADEMA watachukua hatua gani?
 
Jamii inaweza ikadili nao.Wawe makini.
 
Kuna mh hakimu mmoja aliwahi kuniambia kwamba.

Hakuna kesi ngumu kumtia mtuhumiwa hatiani kama kesi za mauaji, na lazima ziwe na ushahidi usio na mashaka tena wa kuridhisha ili kumtia mtuhumiwa kwenye kosa.
 
Nchi ambayo hakimu anaweza pigiwa simu akabadili hukumu...
 
Nimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.

Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu...
Wale waliohukumiwa hakuna hata anayehusika
 
Kuna mh hakimu mmoja aliwahi kuniambia kwamba.

Hakuna kesi ngumu kumtia mtuhumiwa hatiani kama kesi za mauaji, na lazima ziwe na ushahidi usio na mashaka tena wa kuridhisha ili kumtia mtuhumiwa kwenye kosa.
Isije ikawa wewe ndiye mh hakimu mwenyewe.
 
Nimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.

Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu.

Katika hali hii inayoendelea upo uwezekano wauaji wenye nguvu ya fedha au siasa wakaachiwa wote. Moja ya kesi ambayo upo uwezekano wa watuhumiwa kuachiwa ni kesi ya kada wa CHADEMA Mawazo aliyeuawa kikatili na waliodhaniwa ni viongozi wa CCM au waliotumiwa na viongozi wa CCM Geita kama ambavyo iliripotiwa na CHadema

Endapo wataachiwa huru CHadema watachukua hatua gani?
Wakiachiwa huru tutamwachia Mungu maana yeye ni wakili wa haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.

Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu.

Katika hali hii inayoendelea upo uwezekano wauaji wenye nguvu ya fedha au siasa wakaachiwa wote. Moja ya kesi ambayo upo uwezekano wa watuhumiwa kuachiwa ni kesi ya kada wa CHADEMA Mawazo aliyeuawa kikatili na waliodhaniwa ni viongozi wa CCM au waliotumiwa na viongozi wa CCM Geita kama ambavyo iliripotiwa na CHadema

Endapo wataachiwa huru CHadema watachukua hatua gani?
REVENGE

UNA WATU WALIKUWA IMPLICATED NA MAUAJI HAYO?
Kwa hawa so called majaji wa UJPE usitegemee la maana kutoka takataka tupu zinazozidi kuwekwa mahakamani (kama mahakama yenyewe ipo)
 
Kifo ndiyo hasara.

Wengi ambao tunakuwa na ushahidi pasi na shaka kuwa ndugu zetu wameuawa na wakati mwingine tunakuwa na japo siyo mia kwa mia ya wauaji, huwa tunachoka, je inasaidia nini kuhangaika na kesi miaka nenda miaka rudi ili hali ndugu yenu hawezi kurudi tena?

Wakati mwingine mahakama zipo mbali na mnapoishi, na je mtaacha kazi ili kila mwezi mrudi mahakamani ?

Na mwisho mtapata nini na mtu aliishakufa?

Ikifika hapo achilia mbali hao mawakili ambao watataka kila siku ya kesi umpe laki na tiketi ya ndege, ndipo wanaposema .. TUMWACHIE MUNGU ...
 
Back
Top Bottom