Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wale waliohukumiwa hakuna hata anayehusikaNimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.
Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu...
Isije ikawa wewe ndiye mh hakimu mwenyewe.Kuna mh hakimu mmoja aliwahi kuniambia kwamba.
Hakuna kesi ngumu kumtia mtuhumiwa hatiani kama kesi za mauaji, na lazima ziwe na ushahidi usio na mashaka tena wa kuridhisha ili kumtia mtuhumiwa kwenye kosa.
Wakiachiwa huru tutamwachia Mungu maana yeye ni wakili wa hakiNimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.
Hali hii inaonyesha upo udhaifu mkubwa kwenye upelelezi, au uendeshaji wa mashtaka au utoaji hukumu.
Katika hali hii inayoendelea upo uwezekano wauaji wenye nguvu ya fedha au siasa wakaachiwa wote. Moja ya kesi ambayo upo uwezekano wa watuhumiwa kuachiwa ni kesi ya kada wa CHADEMA Mawazo aliyeuawa kikatili na waliodhaniwa ni viongozi wa CCM au waliotumiwa na viongozi wa CCM Geita kama ambavyo iliripotiwa na CHadema
Endapo wataachiwa huru CHadema watachukua hatua gani?
REVENGENimeona kesi nyingi za rufaa zinazohusu mauaji watuhumiwa wanaachiwa huru katika hatua ya rufaa.