M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
...na huku Bashite naye ndani!Mnyeti RC wa Mkoa wa Manyara kachukua fomu ya ubunge Misungwi
Dc Katambi wa dodoma kachukua Shinyanga Mjini, Asumpta Rc Pwani kachukua fomu NKenge..
Kwa kauli ya rais wanaweza kosa vyote? Ama wengine ni untouchable