Je Waliowahi Kutendwa Hupenda tena?

nilishatendwa vibaya mno.....
nikasamehe na kusahau....
na kufungua moyo wangu kwa mwingine....
na nimempenda ile mbayaaaaa.....
nashukuru ananipenda, na wala sikumbuki kuwa nilitendwa...

Unataka kusema umesamehe na kusahau vyote? Kweli u'watofauti.
 
Gagu
Hujambo kakaake..
Pole na majukumu na karibu tena dear ..

maswali yako ntakujibu Ijumaa jioni au Jmosi usiku..
Kwa sasa nayaacha ya teleze tu .. asante dear na karibu tena..

Afroo! Nipo ndugu yangu, nashukuru kwa salamu zako. Hakuna shaka, naimani utakuja na majibu toshelezi!
 
Thanx kwa ufafanuzi!
 
good analysis as usual madam
mimi naangukia hilo kundi lenye red kwa namna moja au nyingine
much repect to you . natumaini unakumbuka ni ubusy tu
 
Bahati nzuri mungu alitupa moyo wa kusahau ,uwezekana wa kufungua moyo tena upo ingawa kwa tahadhari zaidi

karibu tena gagurito

Asante sana FirstLady, ila Mungu huyo huyo ktk biblia amesema "dhambi husamehewa ila makovu yake yatadumu milele" kama cjakosea!
 
If you dont mind lets analyze the first one ... Is that ..real ... Love ? ... or ..Kuna siri fulani hapo ....

yaani kuna msukumo anaupata au kuvutiwa na kupendezwa na mtu anayemtenda... Yaani..katendwa mara ya kwanza ..cha ajabu ...tena ajabu sana ...anajishagaa ..haoni tatizo kutendwa..!! and what happens ..Anatendwa ..anonewa...tena ..na tena ...!! Hatakuwa na raha of course .. Lakini hawezi kujitenga na mtendaji .. au!?
 
Hahahahaha! Au mpaka umpate huyo mwenzio aliyetendwa pia?!
 
Anaweza Kupenda TENA? ......... NDIO .......!!! Lakini kama hakuwa makini ... Ile hali ya kutendwa inaweza kujiruria tena kwenye mahusiano mapya ...!!

Ikijirudie tena natumai jibu ni HAPANA!
 
Mkuu naona unacheza na NGELI ZA KISWAHILI.
 
Kutendwa naweza kusema nijambo la kawaida kwa maisha yetu ya leo,nimeshatendwa na sio kama nimesahu la hasha bado sijasahau na wala sitosahau sema unajipanga tena upya na maisha lazima ya songe mbele...

Kwa experience yako wapaswa kutueleza madhara ya kutendwa ktk mapenzi!
 
Nafikiri kutenda na kutendwa ni kawaida sana katika mapenzi hivyo basi inatupasa kusamehe, kusahau na kuendelea mbele. Forward forever, backward never!
mie kanuni YANGU ni hii nasifikiriI kuibadili sweet revenge kwangu ni forgiveness .NASAMEHE SABA MARA SABINI MAUMIVU NAYAUGULIA MWENYEWE SITAKI TAABU
 
Kwa experience yako wapaswa kutueleza madhara ya kutendwa ktk mapenzi!
huwa inapoteza matumaini kabisa hasa ule upweke .
maana mtu unayempenda anapokupiga chini anakupotezea sana dira kihisia ,kimtazamo, hata mambo mengine ya kimaendeleo ukizingatia unakuwa umempaa nafasi kubwa katika ,moyo , maamuzi, ushauri .....
 
good analysis as usual madam
mimi naangukia hilo kundi lenye red kwa namna moja au nyingine
much repect to you . natumaini unakumbuka ni ubusy tu

Niharakishe kuuliza "Usiniambie hukupata the Final feed back??" Tafadhali naomba nijulishe.... (I know for a fact wee waangukia hapo) if you remember well your last PM explained this....
 
AshaDii kweli nilikumiss dah! Yan hapa umenena vyote, umetoa zaid ya kile kilichokua chanikereketa. Analysis yako ipo poa best, imeshiba. Nadhani wengi wataenjoy kwa kile ulichosema!
Kuhusu hawa wanaotendwa then wanafall inlove wakatendwa tena hivi wanajua maana ya mapenzi kweli? Ni aina gani ya wapenzi wanaoingia nao ktk mahusiano? Mi nadhan watu wa namna hii hawajui maana halisi ya mapenzi na sidhani kama wanaweza dhurika kwa kutendwa!
 
Niharakishe kuuliza "Usiniambie hukupata the Final feed back??" Tafadhali naomba nijulishe.... (I know for a fact wee waangukia hapo) if you remember well your last PM explained this....
madam sikuipata maana nilikuwa naisubiri kwa hamu nikajua ubusy sana yawezekana ni comm breakdown ila sijaitapa the last PM ni ile ambayo inataka nivute subira coz uko busy kimtindo.
unaweza nitumia tena coz naamini ina maanufa sana kwangu
asante
 
huwa inapoteza matumaini kabisa hasa ule upweke .
maana mtu unayempenda anapokupiga chini anakupotezea sana dira kihisia ,kimtazamo, hata mambo mengine ya kimaendeleo ukizingatia unakuwa umempaa nafasi kubwa katika ,moyo , maamuzi, ushauri .....

Ni kweli mkuu. Labda nikieleze nimetoa wapi wazo hili. Kifupi sikutarajia kama litanikaa ktk fikra zangu namna hii, mwanzoni nilidhani mzaha, ilikuwa ni Movie ya FORGETING SARAH MARSHALL, ckumpatia picha muhusika, kifupi ni ngumu sana kumsahau mwenza wako, na kama ulimpenda kwa dhati, nae akakaa moyoni mwako then akakatisha penzi lenu waweza chizika. Inauma sana na ni ngumu kumsahau!
 
mie kanuni YANGU ni hii nasifikiriI kuibadili sweet revenge kwangu ni forgiveness .NASAMEHE SABA MARA SABINI MAUMIVU NAYAUGULIA MWENYEWE SITAKI TAABU

Revenge ktk mapenzi madhara yake hugeukia pande zote. Forgiving and forgeting is a nice solution!
 
Listen to Don William, the song "Fool heart".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…