Je Waliowahi Kutendwa Hupenda tena?




Mapenzi is so phenomenal..... To understand Love the way inapaswa haiwezekani kamwe for kila mwanadamu aelewa vile yeye ataka.... Hilo ndo linafanya kuwe na tofauti in giving and receiving.... Nikirudi kwa huyo kundi A; Ni watu ambao wana a very pessimistic nature in looking at things na si love peke yake.... Anaamini kua ni so speacial na hivo u-special wake haiwezekani uende bure bila rewards ya kile ambacho amaamini, na hasa katika Mapenzi... BUT Life is a BITCH sometimes-hivo yaweza muonesha kua what s/he belives is not necessarily true, Na life ikifanya hivo (kumuonesha ukweli) Cruedly.... not gently ndo anapoishia a bad and sad ending....
 
mkuu i wish so maana NAJUA HUYU ANATAKUWA ANAJUA MACHUNGU YA KUTENDWA na HESHIMA NA MIZAHA KWENYE MAHUSIANO VITAKUWEPO ..

Maganga Mkweli nadhani umekuwa mkweli ktk thread hii, Maneno yako yamejaa hisia sana, unazungumza yale yatokayo ndani ya moyo wako.
Kuhusu kumpenda aliyetendwa kama solution kwangu bado siafiki kama ndio njia mbadala, nadhani huyu aliyetendwa mara nyingi hutawaliwa na umakini, anaweza fanya chochote, hawa si wavumilivu tena, uaminifu wao juu ya mpenzi mpya hua mdogo!
 



Gagurito... Why would you say hawajui Mapenzi?? Of coz wanajua, maybe hata kuliko ambao ni wagum...
 

Well said AD.....I always give myself 'extra' hope,ila inaumiza sana jamani hasa pale unapoona they take advantage of u. Ushauri wangu mkikutana na wanaume/wanawake waliotendwa wakawaelezea kilichotokea kwenye relationships zao msitumie hayo matatizo kama silaha. Yaani ukishajua weakness ya mtu basi usimtese nayo. Binafsi ni mpole,mvumilivu na mwepesi kusamehe pale tu utakaponiambia ukweli. Sasa unakutana na mtu unamuelezea background yako(i'm very open)halafu yy anarudia upuuzi almost the same na ulichomsimulia,kwa kutegemea kuwa utamsamehe tu kwasababu ndio kawaida yako......hell NO!!!!!! Natamani ningepata mtu wa kuniambia after what u went through darling I'll do the impossible to make you happy.....hapo hata mimi nitafungua moyo wangu 100% haijalishi magumu niliyopitia. Haina haja ya kumpa adhabu mtu asiestahili ni bora usijiingize kwenye mahusiano kabisa ujue moja.
 

Dah! wewe mtu yakupasa ufungue darasa. Upo safi sana ktk analysis! Nimekuelewa vyema!
 
kwa upande wangu nadhani unapotendwa kinachoumia kuliko vyote ni nafsi( the soul is the seat of all emotions) that is why it is extremely difficult kupona majeraha. we cannot bandage the soul!!!! it is not that easily accessible ila only Jesus said in the Bible kuwa yeye huweza kuiganga nafsi na it means if you can believe Him, then pray to Him to specifically heal your ailing soul. he is able.

 
madam sikuipata maana nilikuwa naisubiri kwa hamu nikajua ubusy sana yawezekana ni comm breakdown ila sijaitapa the last PM ni ile ambayo inataka nivute subira coz uko busy kimtindo.
unaweza nitumia tena coz naamini ina maanufa sana kwangu
asante


Dear NISAMEHE.... Hua sicheleweshi majibu kiasi hicho.... PMs zangu sasa hivi zijazipanga na zipo disorganised hivo mpaka nione yako tena kazi ipo. Naomba nivutie mda wowote toka sasa mpaka saa sita usiku nitakua nishatuma (itakua kwenye sent items) nashangaa sana hujapokea....
 
inauma sana kucheza na hisia za mtu kwa kweli
 
NIMEKUSAMEHE
i believe in you madam.. Me waiting
 
lakini mkuu sintakuwa muwazi kwake na atajua nia na madhumuni yetu ndani ya mahusiano...?
Kwa kuwa katendwa na mie nime tendwa tutaelewana i hope, correct me if am wrong
inahitaji busara na maombi kwenye hili mkuu
 
Hahahaha! Hebu weka lyrics zake tuzisome mkuu!

Fool, fool heart, what have you done
I thought by now you'd had enough but
Oh no, you've got me falling in love, again.

Fool, fool heart, guess you'll never learn
Taking chances like you do isn't smart
My fool, fool heart.

Fool, fool heart how quickly you forget
Just when you were about to mend
You get to feeling lucky so you try it, again.

You're a fool, fool heart think you're bound to get it right
And that love's just a puzzle with a missing part
But you're a fool, fool heart.

Fool heart, God only knows
How you make it through the highs and the lows
Fool heart I wouldn't mind if
I thought it would be the last time.

Fool, fool heart, you know
We've been through this before
Seems like you said you'd given up
That you were through with being lost in love.

My fool, fool heart guess you've got to play love's game
Still the losing is the hardest part, my fool, fool heart.

Still the losing is the hardest part, my fool, fool heart...
 
Gagurito... Why would you say hawajui Mapenzi?? Of coz wanajua, maybe hata kuliko ambao ni wagum...

Hawajui coz mapenzi/kupenda kwaitaji muda, kumsoma mtu, kumchunguza mpaka kuja kuridhika nae. Hao wanaotendwa then baada ya muda mfupi wanapenda cdhan kma watathamini mapenzi yao! Mapenzi ya kukurupukia yanamadhara sana!
 

Mkuu thanx! Wimbo unaujumbe, lawama zote nikwa FOOL HEART.
 

Thanx mkuu!
 
hawajui coz mapenzi/kupenda kwaitaji muda, kumsoma mtu, kumchunguza mpaka kuja kuridhika nae. Hao wanaotendwa then baada ya muda mfupi wanapenda cdhan kma watathamini mapenzi yao! Mapenzi ya kukurupukia yanamadhara sana!
mkuu ila kuna hii intermediate stage ..(kutojielewa elewa) sasa hapa ndio pana patapotea(kupata au kupatikana tena) ... Unakuwa unaitafuta stability sasa itategemea na uvumilivu wako kusustain hii hali ya kutendwa na ndio maana suddenly mtu anachukua uamuzi wakuanzisha mahusiano mapya. Na sio kukurupuka mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…