Je Waliowahi Kutendwa Hupenda tena?

Inatokea ukapenda tena lakini wenye mioyo ya chuma kama mie sijawahi kupenda tena toka nilivyotendwa ila naishi nao na kuzaa nao tu.Nalog off
 
... I loved the way you put it! Nikama amepata suprise ambayo hakuitarajia kabisa. Na ninachosema ata react na hiyo situation .. Am sure umewahi kusikia ... Battered woman syndrome ..kuwa anaweza jikuta kwenye kundi hilo kutokana na nature yake!
 
mmmh
unaweza kupenda tena lakini si rahisi kuwa kipofu wa mapenzi kwa mapenzi hayo ya baada ya kutendwa
 
Ukitendwa ni ngumu kupenda tena kwa dhati, lakini with time and kama utamppata atakayekupenda kwa dhati na kutokufanyia vituko wakati utafika utapenda sanaaa!!

Jamani mlio katika uhusiano, achaeni kutendana coz inaumaaaaa!
 
to sum up; binadamu ni kiumbe complex sana
 
to sum up; binadamu ni kiumbe complex sana

then ni kiumbe mbishi mno, hata atendwe vp hatakoma kupenda. Busara zahitajika katika mapenzi na mahusihano tunayohusika!
 
... I loved the way you put it! Nikama amepata suprise ambayo hakuitarajia kabisa. Na ninachosema ata react na hiyo situation .. Am sure umewahi kusikia ... Battered woman syndrome ..kuwa anaweza jikuta kwenye kundi hilo kutokana na nature yake!

Mkuu japo umeandika kimafumbo, nashukuru mungu nimedaka mawili matatu!
 
Ukitendwa ni ngumu kupenda tena kwa dhati, lakini with time and kama utamppata atakayekupenda kwa dhati na kutokufanyia vituko wakati utafika utapenda sanaaa!!

Jamani mlio katika uhusiano, achaeni kutendana coz inaumaaaaa!

Afadhari umewaonya!
 
Unataka kusema umesamehe na kusahau vyote? Kweli u'watofauti.

nimesamehe na kusahau. .
Ingawa sipo nae. .
Kuna umuhimu gani wa kuishi na kinyongo na mtu?
Wakati wewe nafsi inahangaika na kinyongo chako mwenzio anaendelea na maisha yake kwa furaha. . .
Kisa?
 
nimesamehe na kusahau. .
Ingawa sipo nae. .
Kuna umuhimu gani wa kuishi na kinyongo na mtu?
Wakati wewe nafsi inahangaika na kinyongo chako mwenzio anaendelea na maisha yake kwa furaha. . .
Kisa?

Kweli bhaaana kubadili tabia ndio mwendo aisee. Afta ol kuish kwa kinyongo sio deal. Tujifunze kusamehe na kusahau!
 
Kweli bhaaana kubadili tabia ndio mwendo aisee. Afta ol kuish kwa kinyongo sio deal. Tujifunze kusamehe na kusahau!

absolutely! Usisahau muda mganga. In time ukiruhusu nafsi vidonda hupona, na ukimpata mwenye mapenzi ya dhati raha iliyoje!
 
absolutely! Usisahau muda mganga. In time ukiruhusu nafsi vidonda hupona, na ukimpata mwenye mapenzi ya dhati raha iliyoje!

Mapenzi vionjo bhaaaana, ful raha though kutendwa karaha!
 
Hawajui coz mapenzi/kupenda kwaitaji muda, kumsoma mtu, kumchunguza mpaka kuja kuridhika nae. Hao wanaotendwa then baada ya muda mfupi wanapenda cdhan kma watathamini mapenzi yao! Mapenzi ya kukurupukia yanamadhara sana!

Gagurito and knowing that ndo Mapenzi?? Umsome kwanza?? Wanaopenda watu wenye tabia mbovu jammii yoote inaona ina maana hawajui kupenda?? Hapa umeongea kama vile wee ndo unachangua kua sasa ngoja sasa nipende, which is contrary. Ingekua hivo mbona basi hata unapotemwa ina maana roho isingeuma ungeji-tune kua sasa nisepende...
 
Napenda kufahamu juu endapo mtu ametendwa or alikwishawahi kutendwa ANAWEZA KUPENDA TENA? Nakama akipenda je atapenda kama alivyopenda awali? Na ni nini madhara yakutendwa katika mahusihano?

Kuna "karama" ambayo tumejaliwa na Mola ila wengi wetu either hatujui kama tunayo au hapendi kuitumia.. nayo ni karama ya kusahau yaliyopita....

Binadamu wote..hata kama umepata maswahibu ya aina gani.. "Unao uwezo mkubwa wa kusahau kama utapenda iwe hivyo" tunapishana kidogo katika uwezo wa ku-fine tune computer zetu upstairs.. yaani kichwani..

Jibu la swali lako...Yes we "Cain"... or Sorry..Yes we "Can" ....

Gagurito.. tunaweza sahau yote na kujenga mapya!
 
Nadhani mtu ukishatendwa unakuwa mhalisia zaidi. Ni kama vile unaanza kuishi maisha ya kidunia zaidi kuliko yale ya kufikirika.

Kutendwa ni wake up call. Hii ni kwa sababu kunakufanya utambue kuwa kumbe 'it can also happen to me'. Si unajua wanadamu wakati mwingine tuna mazoea ya kudhania kuwa mambo flani flani hayawezi kututokea....sasa ukishatendwa ndo unaamka sasa.

Ukishatendwa unatambua kuwa kumbe yaweza mtokea mtu yeyote na kwamba hakuna mwenye kinga dhidi ya hiyo dhahma. Wanasema hakuna mwalimu mzuri kama tajiriba. Kwa wale wanafunzi wazuri wa maisha, ulimwengu, na walimwengu wake kutendwa ni bonge moja la teachable moment.
 
Hupenda but huwa makini sana, yan hupenda kwa mashaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…