Unaweza kupenda tena au usipende tena. Haya mambo yanategemea uliumizwa kwa kiwango gani na ilikuathiri vipi kisaikolojia, na hii inategemea sana relationship yenu ilikuwa ya namna gani kwani kwenye mahusiano ya mapenzi kuna mambo mengi sana baina ya wawili.