Je! Wamachinga na Vibanda vya wamachinga vimeruhusiwa rasmi Ubungo na Kijazi Interchange?

Trubarg

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2020
Posts
4,400
Reaction score
7,254
Naona kama shughuli sasa imekuwa rasmi. Maduka ya wamachinga yameanza sehemu pembezoni mwa interchange ya Kijazi na Morogoro road.

Je watendaji hili wanaliona au wanasubiria mpaka kipele kiwe jipu ndo waje watoe suluhisho. Ni aibu kuona kila mahala wamachinga wamezagaa bila udhibiti wowote.
 
Pale ofisininm kwa afsa mtendaji kupangisha eneeo ni shilingi 50 elfu ka mwezi sasa sijajua hiyo hela inaingia serikalini au inaenda mfukoni.
Pale ubungo maji ikitaka eneo la kuweka kibanda unaenda ofisini kwa mtendaji unalipa kodi yako pale anaenda kukuonyesha pa kuweka
 
Back
Top Bottom