Pale ofisininm kwa afsa mtendaji kupangisha eneeo ni shilingi 50 elfu ka mwezi sasa sijajua hiyo hela inaingia serikalini au inaenda mfukoni.Naona kama shughuli sasa imekuwa rasmi. Maduka ya wamachinga yameanza sehemu pembezoni mwa interchange ya Kijazi na Morogoro road.
Je watendaji hili wanaliona au wanasubiria mpaka kipele kiwe jipu ndo waje watoe suluhisho. Ni aibu kuona kila mahala wamachinga wamezagaa bila udhibiti wowote.