affimation
Member
- Jan 25, 2019
- 48
- 105
Kwa hili la kufungiwa na FIFA sijui ataenda mahakama gani tena imrudishe kujihusisha na soka,
Nadani ni wakati wake sasa kijihusisha na netbal, au hata kua mishen town tu, mana alishazoea kupiga dili kwenye mpira wa miguu
Jamaa amekua king'ang'anizi wa mpira utadhani mpira ndio pumzi ya uhai kwake, kila akishindwa yeye ni mahakamani tu, amekua mtu wakulia lia mahakamani,
Kwani alikua na masilahi gani makubwa kwenye shirikisho mpaka kua hivi? Kwani bila wewe soka la tanzania litakufa,
Heri fifa wamekupiga rungu la maisha, ulizoea kuonea soka la tanzania sasa kubwa lao kaja, mahaka gani utaenda kwa sasa
Pumzika kwa amani kwenye soka, fanya mambo yako mengine.