Je Wambura hana kazi nyingine nyakufanya, Heri FIFA wamemfungia maisha.

affimation

Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
48
Reaction score
105
Kwa hili la kufungiwa na FIFA sijui ataenda mahakama gani tena imrudishe kujihusisha na soka,

Nadani ni wakati wake sasa kijihusisha na netbal, au hata kua mishen town tu, mana alishazoea kupiga dili kwenye mpira wa miguu

Jamaa amekua king'ang'anizi wa mpira utadhani mpira ndio pumzi ya uhai kwake, kila akishindwa yeye ni mahakamani tu, amekua mtu wakulia lia mahakamani,

Kwani alikua na masilahi gani makubwa kwenye shirikisho mpaka kua hivi? Kwani bila wewe soka la tanzania litakufa,

Heri fifa wamekupiga rungu la maisha, ulizoea kuonea soka la tanzania sasa kubwa lao kaja, mahaka gani utaenda kwa sasa

Pumzika kwa amani kwenye soka, fanya mambo yako mengine.
 
Apumzike walahi, tokea nipo mdogo nlikuwa namskia yeye tu walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wallace kalio tunajua ni we na new id

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonyesha hapo TFF kuna maslahi mazuri na kama yapo acha akomae tu ikibidii aende mahakama ya michezo akakate rufaa.
 
Kwa matokeo hayo in maana Wambura ndio basi tena kwenye soka letu? Anaweza kukimbilia wapi tena kama fifa imempiga rungu la maisha.
 
Raïsi naona umeanzisha Id mpya kumpondea makamo wàko baada ya figisu kutimia

Ila wambuŕa ni wakati wa kujiajiri huu
 
Back
Top Bottom