Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Kaburu Petet Botha na wenzake walikuwa hawataku upinzani wa kila namna. Kila mpinzani aliyekuwa akipinga ukatiri wao alipotezwa kuuwawa au kutiwa kizuizini.
Miaka hiyo kituo kikuu cha polisi maarufu John Vorster Square kilitumika kutesa, kuua na hata kuficha watu
Hapa Tanzania haya mambo saza yamekuwa kama enzi za Makaburu wa Afrika kusini.
John Vorster square ya hapa Tanzania ipo wapi?