Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Ndiyo mkuu...yaani hao wanachi wao wapo ndani ya zone ya 50kph...sasa unakuta watu wameiba hicho kibao cha 50kph, anayekuja na kuingia anaingia kichwa kichwa...anakutana na manesi....Hii iko sawa. Huyu yuko ndani ya 50kph zone. Ninachozungumzia ni hiki kibao kinaondolewa halafu unaingia hapa anaekupiga picha akiwa huko kwenye bus
Hapo lazima tu dereva akutane na nesi wa zamu..[emoji119][emoji119][emoji119]Duh anakutana na nani?!!
exactlyMe nimekusoma. Yaani yeye anakaa upande wewe unaoelekea kwahiyo unapigwa picha gari lako, speed na picha ya kibao kinachowaruhusu wale wanaoenda ulikotoka wewe wazidi 50kph.
Na wanakuvizia wakijua utaingia mtegoni.exactly
ila kuna uonevu mkubwa sana kwenye hili, mie natakiwa ni respond kwa alama ninayoiona mbele , kama haipo sio kosa langu, kama kimeibiwa tanroad anawajibishwe kwa kutoweka alama.
Trafiki anatoa adhabu kwa alama amabyo haikuhusu na hii sio sahihi
mahakama zingekuwa huru huu mchezo ungekufa
Wewe ulistahili kulambwa hata 30,000!