Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Masaki ntake radhi.Kama gagulo tena???:confused3:
Nakutaka radhi mamii, ila ni msemo tu wa Uswazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masaki ntake radhi.Kama gagulo tena???:confused3:
Duuh! teh teh,kweli Mamushka mie hapa unanionea .
Mpana kama gagulo la Msomali! 🙂 :caked:
Nakutaka radhi mamii, ila ni msemo tu wa Uswazi!
Nakutaka radhi mamii, ila ni msemo tu wa Uswazi!
huyu hapa chini ndo ana kesi ya kujibu huyu.............
Masaki hiyo ndo concern yako jamani...................Huyu dogo kaoa mapema sana! Ila ni vizuri pia kuoa mapema, unalea watoto wako ukiwa bado na nguvu. Ila sasa tatizo ukiwa na mtoto at the age of 20, by the time unafika 38, yeye anakuwa na 18......Mnaanza kugongana gesti, yeye na videmu vyake, mzee mzima bado unamalizia maliza ujana na mishangazi ya Ilala....!!!! Dah! Bora kuchelewa tu!
appology accepted.si unajua tena wenzio viswahili havipandi.
ila watu kama nyie ufalme wa mungu ni wenu kwa vile ni wepesi wa kuomba msamaha
Sasa mbona unaikandamizia? Wakati ushaona Charity siku hizi kawa mkali, asije kunimwagia maji ya moto usoni bure, nikashindwa kuuza nyago mjini!
Masaki hiyo ndo concern yako jamani...................
Kwahiyo walioana kijana akiwa fom three B na mdada akiwa yunivesite mwaka wa nne?