GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara.
Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa wale) mnaonishambulia GENTAMYCINE tokea jana usiku baada ya klabu yenu kutinga rasmi makundi ya Kombe la Walioshindwa (waliofeli) kwa ngeli (Losers) kama alivyoliita Mungu mtu wenu na mtu mnayemuamini kwa kila akisemacho Haji Manara.