GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Je, hili ndilo Jibu la Swali lililoulizwa?
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Loosers ) au?Bado tunakomaa na wewe hadi useme ulitabiri ukiwa una wanga au?
With due respect; ni "losers" siyo "loosers".Loosers
Na ndiyo maana nimeandika kwa Kiswahili pia (ili nieleweke vyema) kwani sijui Kiingereza halafu sijasoma kama Wewe.With due respect; ni "losers" siyo "loosers".
That reaction was unnecessary! Anyways, sawa mkuu wangu, uwe na siku njema.Na ndiyo maana nimeandika kwa Kiswahili pia ( ili nieleweke vyema ) kwani sijui Kiingereza halafu sijasoma kama Wewe.
Hongera Kwako kwa kuwa that Wordsmith Mkuu sawa? Umeishi sana Ulaya na Marekani tofauti na MImi niliye hapa Tandale Uzuri.
Mkuu, naomba upate 5 star english breakfast mahali popote ulipo, kuhusu malipo wewe niachie hiyo kazi ya kuchonga viazi.Jadili kuhusu Singida ilivyokupokonya point achana na yanga.
Una nyege na Yanga wewe malaya"Simba SC (Makolo) waache Kujitutumua kushiriki hilo Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la Watu walioshindwa (Loosers) na Wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa Kuwaheshimu" Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara.
Nitashukuru sana na mno wana Yanga SC wote (hasa hasa wale) mnaonishambulia GENTAMYCINE tokea jana Usiku baada ya Klabu yenu Kutinga rasmi Makundi ya Kombe la Walioshindwa (Waliofeli) kwa Ngeli (Loosers) kama alivyoliita Mungu Mtu Wenu na Mtu mnayemuamini kwa kila akisemacho Haji Manara.
Muache amechanganyikiwa baada ya yaliyofanywa na Wananchi janaWith due respect; ni "losers" siyo "loosers".
Sawa mjua Kiingereza JamiiForums na Mhariri wa Maneno ya Kiingereza kwa akina GENTAMYCINE tusiokijua.That reaction was unnecessary! Anyways, sawa mkuu wangu, uwe na siku njema.
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?Jadili kuhusu Singida ilivyokupokonya point achana na Yanga.
Na ndiyo maana hata Wendawazimu ( Mental Cases ) wengi wako katika Klabu hiyo iliyomtoa Mwarabu Club Africaine ya nchini Tunisia.Halafu walikua wanasema kuingia makundi sio mafanikio labda tubebe kombe, ss sijui wao tng jana wanashangilia nn
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?Una nyege na Yanga wewe malaya